Huyu mtu alitunyanyasa sana

Huyu mtu alitunyanyasa sana

Na hata ktk episodes zake zote, Polepole alikuwa alilalamikia uhuni ndani ya ccm na siyo vinginevyo. Polepole mpk sasa ni mwanachama mtiifu wa ccm.

Polepole analalamikia kuwa wahuni wameiteka chama cha mapomduzi.
 
Polepole hajawahi kuwa mwanachama wa CCM bali alikuwa mfanyakazi wa CCM. Magufuli alimpa kazi yeye na Bashiru kwa sababu zake binafsi
 
Siungi mkono kutekwa Kwake na si shabiki wa watesi wa Watanzania. Ukweli ni kwamba alitusaliti na kutubana ga.Wakati ule anatutambia na alichokiita yeyə Viety alitupitisha via də la rosa.Watanzania tuwe na msimamo, Huyo ni ntu wao, wanajua watendalo ni Mambo yao.
Leo tunamtaka , hakuna mda wa kuangalia ya nyuma. Full stop
 
Polepole alihusika kuibomoa Demokrasia na ukandamizaji wa vyama vya upinzani.
 
Back
Top Bottom