Unafikiri vitu alivyokuwa anavipinga havikuathiri?
Pesa za kutoa huduma za kijamii zinaenda mifukoni wa Samia na genge lake. Usije kulalamika kuhusu huduma mbovu za afya, elimu, barabara, mfumuko wa bei, ukosefu wa ajira, kuongezeka vibaka, majambazi mtaani, wewe kutekwa siku moja.Hayo yatakuwa matokeo ya uongozi mbovu wa Samia.
Nimemuona John Heche, amekua sana kisiasa anapigania wananchi wote hata CCM waliotekwa.
Amevuka level za kugawanywa kitoto kwa vyama, dini, kabila awamu. Anapigania maslahi ya Tanzania na wananchi wote badala ya maslahi binafsi, au ya kabila au ya chama chake pekee.
Viongozi ndio kama hawa ndio wanafaa kuongoza hili Taifa.