Huyu mtoto ni wangu???

Daddy wakati hukutaka kuwa daddy?
mkuu it was a really a bad time, nilikua nimetoka kuzika mkuu my own dad, and i was mentally disturbed so haikuwa wakati muafaka, i tried to explain bila kueleweka what else could i do..i should forget if they ever existed nadhani itakua suluhisho..
 
watu wengine bana mnakera sana.... ukatae mimba bali mtoto wamtaka alishakwambia katoa amini hivyo hustaili kuitwa baba ulishamkimbia akiwa tumboni sasa wataka kuitwa baba ili iweje tafuta mwingine utakayempenda toka akiwa tumboni
 
Yani maelezo yako tu mie joto hasira, wakati wa mimba ulikuwa na stress umeona mtoto stress zimeisha??? tena huyo dada aendelee kukimbia ivyo ivyo na mtoto wake atafutie baba mwingine. Na wewe sa hivi si hauko tena mentally disturbed tafute mwanamke umpe mimba na uilee uone tam na chungu yake!!.
 
wenzio huwa hawakatai mimba kaka, unakubal kwanza then mwisho wa ck ukwel huwa unajulikana, mwenzio kalea mimba mfano kakutana na jamaaa kalea mimba, mtoto tang kazaliwa na hujui alisumbua vp labda alkuwa anumwa au hata anakula nn, anavaa? leo hiiii unaona unaanza pukurushaniiiiiiiiiiiiiiii mkubwaaaa?? na hapa wanaume tujfunze makosa ya wenzetu mtu unaambiwa na mwanamke kuwa ana ujauzito unaanza kukana, mtoto akishazaliwa na amekuakua unaanza oooohhh namtaka mwanang,upuuz mtupu huooo
 
mkuu it was a really a bad time, nilikua nimetoka kuzika mkuu my own dad, and i was mentally disturbed so haikuwa wakati muafaka, i tried to explain bila kueleweka what else could i do..i should forget if they ever existed nadhani itakua suluhisho..

Ni kosa lako....no excuses!!
Wana haki kabisa ya kukukana na wewe! Kama ulitaka mtoto afe, huna haki yoyote ya kuamua lolote kuhusu huyo mtoto, hakuna excuses!!!
The best you could do ni kuwaacha wenyewe waamue kama wanakuhitaji!
 
kweli unauliza sababu ya yeye kukukimbia? Kutokujibu meseji na kutopokea simu? Kwa nini usijiulize mwenyewe kwanza kwamba why ulikataa ujauzito wakati alipokwambia? Simply ni kwamba hukumuamini, why sasa?

Eti Ooh ilikuwa ni one night stand, aliyekwambia mimba inataka mamisaa, midakika au misiku nani?

Kwa kukufanyia hayo tu unaumia kiasi hicho, geuza upande wa shilingi ufikirie nae alijihisi/anajihisi vipi?

Umeona mtoto mzuri, ameshakuwa, amenawiri ndo unahisi kuwa ni wa kwako? kumbe hata uhakika huna?

Muache mwenzio aishi maisha yake, alishakusahau na alishaamua aendelee na ya kwake. Usianze kumletea nightmares zisizo na maana.
 

umenena kweli mkuu mimba haihitaji siku ngapi,saa ngapi ni kitendo cha kumwaga maji ya uzima, yeye mwenyewe ajishangae alimmiminia mwenzie mamilion ya wazungu angesalimika kweli? bao moja=3milion,wewe unalo jibu ulijikunja mara ngapi kama beberu unajua milion ngapi! halafu unasema mara moja tu.
 
siyo unahisi ndivyo ilivyo waache waishi maisha yaho wanawake wengi tafuta mwingineumpe mimba usikimbie lakin na hakikisha huna stress ulee mimba uone uchungu uliompa mwenzio,
 
Ndio shida ya kukimbia kivuli chako mwenyewe
 

idiot, yani jinsi nilivokua nasoma hii thread nilikua nasikia hasira yani ningekuona ningekunasa mabao.shame on u,mimba uikatae mtoto azaliwe uje jitia wamtaka nyooooo huna haya kama mi ndo mamake hotowai gusa wala unywele wake kazi kukwepa majukumu tuu.eti katoto kazuri kafana na wewe.shame on u
 
Vijana niwaambie tu, hii tabia ya kukataa mimba sio nzuri kabisa. Hapa mtaani kwangu kijana kampa binti wa watu. Binti kumpa taarifa kijana akaruka futi laki 800,000 wazazi wa binti wakaona isiwe tabu. Mtoto alipozaliwa tu wakafanya utaratibu wa kisheria wamemuadopt. Hivyo kijana hana chake pamoja na mtoto kufana naye. Hivyo nawewe nakushauri utulie tu.
 
mkuu kila nikizitazama naona kama mimi mkuu, yaani pua, masikio na macho, kopi yangu mkuu, it happened kwa staili ambayo sina ukaribu na marafiki zake wala ndugu zake, ninayemfahamu ni yeye, kwao pia sipafahamu hakuwahi nielekeza..

Kwasabu unamawasiliano ya simu na yeye. Mshirikishe mtu wako wa karibu hilo tatizo pia mpatie namba ya huyo dada ili aweze kumtafuta. Naamini hatokataa wito. Hapo ndio mjumbe wako atakapo fikisha ujumbe wa samahani na ww kupata fursa ya kuwasiliana nae pia kumuona mtoto. Kila la kheri mkuu
 

Nashangaaga napoona mtu anasema ''mchukue tu mtoto kutoka kwa mama ukae nae''Yaani umeona mama aliyeangaika kulea mimba,kuzaa na kulea mtoto hastahili kukaa na mtoto bali baba aliyekataa mimba ndio perfect kukaa na mtoto?
Cha muhimu hapo aombe msamaha atoe matumizi ya mtoto na awe close na mtoto.kama mama anakubali mtoto kukaa na baba hapo sawa
 
Kwanini ulimkataa mtoto???
Hamna dhambi kubwa km hiyo ya kukataa mimba.
Najua haujui uchungu wa huyo mtoto, hivyo naomba umwache dada huyo andelee maisha na mwanae.
Oa mwanamke mwingine endelea na maisha yako. Achana nae huyo mtoto labda akitaka mwenyewe kumfahamu baba yake ndo utamfahamu muda huo sio sasa.
 
mkuu kila nikizitazama naona kama mimi mkuu, yaani pua, masikio na macho, kopi yangu mkuu, it happened kwa staili ambayo sina ukaribu na marafiki zake wala ndugu zake, ninayemfahamu ni yeye, kwao pia sipafahamu hakuwahi nielekeza..

Unatuzingua tu hapa maana hivi mtu timamu unashindwa hata kupeleleza anapoishi huyo dada au wewe ni zuzu kiasi gani mpka unashindwa kufanya intelijensia ndogo kama hizo. Stori za kutunga uwa hazina mashiko kabisa
 
mkuu kila nikizitazama naona kama mimi mkuu, yaani pua, masikio na macho, kopi yangu mkuu, it happened kwa staili ambayo sina ukaribu na marafiki zake wala ndugu zake, ninayemfahamu ni yeye, kwao pia sipafahamu hakuwahi nielekeza..

Hapo kwenye Facebook hakuna details zaidi?
 

Geen my dear wala usishangae ndugu yangu. Jukumu la kutunza mtoto ni la baba. Matumizi, matibabu, shule, mavazi, chakula na UPENDO ni sehemu ya majukumu ya BABA. Kumuachia mama alee mtoto peke yake si sahihi. Nakubaliana na wewe kuwa ni vizuri wakasameheana lakini huyo dada asiweke kinyongo au kutumia tofauti zao na baba wa mtoto kumnyima mtoto haki yake ya kuwa na baba yake.
 
Unamtaka mtoto, mamaye ama mtoto na mamaye?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…