Huyu mtoto ni wangu???

yaani hata mie ningekuttoa mkuku mkuku.......

mimba uione chungu mtoto umuone mzuri kha mwanaume una balaa wewe
 
yaani hata mie ningekuttoa mkuku mkuku.......

mimba uione chungu mtoto umuone mzuri kha mwanaume una balaa wewe
 
But she called to tell that anaitoa, nikajua its no more , mpaka kuja kuunganisha hizi habari, sasa hapo ningefanya nini tena??

Je ulimpa pesa ya kutolea?
Wewe hukuwa tayari kupata mtoto sasa tulia hadi utakapokuwa tayari kupata mtoto huyo sio wako sababu hakuwa planed

Hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo na familia wakiuliza mimba ya nani najibu mwenye mimba alikufa gafla so hata nikifa mtoto hatamtambua baba yake.

Mimba ukate wewe mtoto umtake wewe majanga tena majanga

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

acha kumdanganya mwenzio. huyo mwanamke ana haki ya zote tena wa ksamehewa siyo mama ni baba cha msingi amtafute wakae aombe msamaa akikubaliwa poa akikataliwa aangalie ustaarabu wake ila akome
 

Ngoja ninywe chai nikirudi nitakusaidia ufanyeje.
 
Yani wewe limwanaume wewe?? Mimi huwa ninahasira na watu kama wewe? Ndio mnaosababisha watoto kutupwa majalalani....... ninamengi ya kuongea ila nahisi nitakutukana bure nimkosee Mungu wangu. Nawachukia sana watu kama wewe fyuuuuuuuuuuu!!
 
Ufanye nini na ulishakataa majukumu?


Endelea kumuangalia mtoto hivyo hivyo kwenye picha


Tena ningemjua huyo dada ningemwambia akublock kabisa ili hata picha usizione
 

Amsamehe meanamke kwa kosa gani alikolifanya?

Ajisamehe mwenyewe kwa kitendo chake cha kibarafhuti alichokifanya
 
Hata kama ulikataa mimba mtoto ana haki ya kujua wazazi wake(biological parents) sheria inamruhusu tu! Ninachowashangaa wanawake huwa wanabania watoto hawajui mtoto akifikisha miaka saba babake anaweza kumdai na akapewa! Hata watoto wenyewe wanapenda kuwaona baba zao jamani utabana utahangaika na kulea lkn mwishowe mtoto mwenyewe akimjua babake alipo anasepa tu sasa faida i wapi?
Mh wenzio wanadai zinawaumiza,wengine wanadai hawawezi kula pipi na maganda,yaani wakati huo mimba wala magonjwa havikumbukwi ila one nite stand ikiisha ndo akili inawakaa sawa
 
Now she is 3 and a half, patiently waiting aanze kuulizia daddy yuko wapi..
 
acha kumdanganya mwenzio. huyo mwanamke ana haki ya zote tena wa ksamehewa siyo mama ni baba cha msingi amtafute wakae aombe msamaa akikubaliwa poa akikataliwa aangalie ustaarabu wake ila akome
sasa hapa anaekoma ni mtoto bila kumjua baba yake kuna haki hapo
 
wakwako alimtoa na alikuambia..huyo wa mwingine..! yaani ulichomfanyia anakuona kama jini!
 
wakwako alimtoa na alikuambia..huyo wa mwingine..! yaani ulichomfanyia anakuona kama jini!

uwezekano huo upo sikatai, ila mahesabu ya umri na kushahabiana kwa muonekano vinanipa wasiwasi, na vile vile i am not sure 100% kua kweli alitoa kama alivyosema, maana hatukua na mawasiliano tokea kipindi kile, alikua hapokei simu zangu..
 

kacheki afya ya ubongo wako wewe mgonjwa..unashindwa kulea unaongelea sheria? mwanaume majukumu..hiyo mibangi mnayovuta nyie vijana..
 
We sepa kule, si ulikataa mimba kinachokuwasha kitu gani. Akija kukutafuta or not hayo ni majaliwa as long as yupo na amani na mamaye. You will never get to enjoy ukuaji wake and thats the real joy of having a child.i Shame on u.
Vua kiburi chako na umuombe huyo Dada kama unataka kuwa kwenye maisha ya huyo mtoto
 
Yeye hakuwwa na sakamstansi?

Au wewe tu ndio bin adamu?


kwa kipindi kile haikua rahisi under the circumstances, ila kama nahusika kwanini akimbie asijibu simu wala sms?? nahisi nahusika, kama nahusika kuna ubaya kukutanishwa na damu yangu??
 

Wakati unaikataa ujue kuna mtu ameshasingiziwa hyo mimba na ameilea, sasa wewe unataka uende 2 kama mfamaji, utakuja upgiwe mkon'goto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…