rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
kwa kipindi kile haikua rahisi under the circumstances, ila kama nahusika kwanini akimbie asijibu simu wala sms?? nahisi nahusika, kama nahusika kuna ubaya kukutanishwa na damu yangu??Wewe si umekataa ujauzito?Kinachokufanya umtake huyo mtoto sasa ni nini?Kwani wewe unataka ufanye nini?
Suala sio unahisi unahusika,UNAHUSIKA na alishakujulisha hilo ukakataa ujauzito!Kwanini ukutanishwe sasa na ulikataa jukumu tangia mwanzoni?Unajua amepata shida kiasi gani kulea ujauzito na mtoto wenu peke yake?Kusema kweli ana kila haki yakukata mawasiliano yote na ww!Unaujua uchungu wa mtoto wewe?kwa kipindi kile haikua rahisi under the circumstances, ila kama nahusika kwanini akimbie asijibu simu wala sms?? nahisi nahusika, kama nahusika kuna ubaya kukutanishwa na damu yangu??
I thought people use condoms on their night stands,,,
But she called to tell that anaitoa, nikajua its no more , mpaka kuja kuunganisha hizi habari, sasa hapo ningefanya nini tena??Suala sio unahisi unahusika,UNAHUSIKA na alishakujulisha hilo ukakataa ujauzito!Kwanini ukutanishwe sasa na ulikataa jukumu tangia mwanzoni?Unajua amepata shida kiasi gani kulea ujauzito na mtoto wenu peke yake?Kusema kweli ana kila haki yakukata mawasiliano yote na ww!Unaujua uchungu wa mtoto wewe?
Hujui yaloyojiri kwahio usikimbilie kumhukumu,aliamua kutoa kwasababu wewe hukuonesha ushirikiano na inawezekana ulimrubuni afanye hivo ,na ni dhambi kubwa sana kuua kiumbe!AstakafirullahBut she called to tell that anaitoa, nikajua its no more , mpaka kuja kuunganisha hizi habari, sasa hapo ningefanya nini tena??
Suala sio unahisi unahusika,UNAHUSIKA na alishakujulisha hilo ukakataa ujauzito!Kwanini ukutanishwe sasa na ulikataa jukumu tangia mwanzoni?Unajua amepata shida kiasi gani kulea ujauzito na mtoto wenu peke yake?Kusema kweli ana kila haki yakukata mawasiliano yote na ww!Unaujua uchungu wa mtoto wewe?
kwa kipindi kile haikua rahisi under the circumstances, ila kama nahusika kwanini akimbie asijibu simu wala sms?? nahisi nahusika, kama nahusika kuna ubaya kukutanishwa na damu yangu??
Mwanaume akiamua kutumia condom atatumia tu!!Kwani hajui ni jukumu lake akiambukizwa magonjwa au mwanamke akipata ujauzito??Wote wawili walikuwa irresponsible na yeye kukana mimba WONT JUSTIFY ANYTHING FOR HIM!!Mh wenzio wanadai zinawaumiza,wengine wanadai hawawezi kula pipi na maganda,yaani wakati huo mimba wala magonjwa havikumbukwi ila one nite stand ikiisha ndo akili inawakaa sawa
mkuu kila nikizitazama naona kama mimi mkuu, yaani pua, masikio na macho, kopi yangu mkuu, it happened kwa staili ambayo sina ukaribu na marafiki zake wala ndugu zake, ninayemfahamu ni yeye, kwao pia sipafahamu hakuwahi nielekeza..Kama umejiridhisha kuwa huyo mtoto ni wa kwako. Tafuta watu wa kuongea na huyo dada. Uombe samahani na kuahidi kuwajibika kwake. Na kama unampenda na ikiwa bado hajaolewa mnaweza kubaliana kuanziasha familia. Kila la kheri mkuu
ulishamkataa tokea tumboni sasa nini tena jamani, mwache amlee mwanae akiona una umuhimu atakutafuta, though sidhani kwa sababu hajauona umuhimu wakati akiwa na ujauzito.
pili usije mwaribiha yawezekana amepata mtu wa kumbambikiza huyo mtoto, ka utamuoa endelea kumtafuta lakini kama shida ni mtoto tu mwache dada wa watu.