Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 680
Dogo dogo mmoja wa darasa la kwanza alipanda daladala huku akiimba kwa sauti kubwa vitu alivyofundishwa school "baba akiwa jogoo mama akiwa kuku mimi ntakua kifaranga,… baba akiwa beberu mama akiwa mbuzi mimi nitakua ndama'' dogo aliimba kwa muda mrefu mpaka kondakta akakasirika, akamwambia ''Ah weee! hebu nyamaza.. jee kama baba angekua ****** na mama malaya weee ungekua nani?" dogo dogo akamjibu "ningekua kondakta wa daladala"
Hivi neno maluuni, maana yake ni nini?
Maluuni maana yake TUNDU? Una uhakika mkuu au...!?Maana yake ni Tundu
Nilifikiri maluuni ni neno lililo tokana na neno Laana.
Mtoto maluuni, yaani mtoto aliye laaniwa.
Outcast.