Huyu Mtoto Hakika Anayo Mapenzi Ya Dhati

Huyu Mtoto Hakika Anayo Mapenzi Ya Dhati

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1535464594034.jpg
 
Hawa watoto watu wanasemaga ni malaika ila kama kuna viumbe wanaongoza kwa roho mbaya na uchoyo basi ni watoto.
Huyu awakilishi group la watoto.... Mtoto Ukiangalia hata andazi lake analia ije kuwa kumlisha mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongelea watoto wa uswazi,kula wali Mara moja kwa mwezi.Roho mbaya huchangiwa na wazazi.Mtoto wa maskini akijichukulia chakula na kula bila ruhusa anapigwa makofi kwamba ameiba chakula.Mtoto wa tajiri akijichukulia chakula,bila ruhusa na kula anapigiwa makofi,na kupewa sifa kedekede,pamoja na zawadi.Sijui ruhusu gani maskini wanataka mtoto aombe kuhusu kula chakula,huku yuko kwao?!!!
 
Inashika sana kihisia.... Watoto bana hawabaguanigi bila kujali rangi

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Back
Top Bottom