Huyu msichana vipi?

Huyu msichana vipi?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Aisee kuna dada mmoja anasoma chuo fulani hapa moshi namfukuzia siku nyingi lakini alikuwa bado haeleweki.

Cha ajabu leo kaniita kwenda hadi hapo anapoishi maana yeye amepanga mbali kidogo na chuo ikabidi niende pande zile hadi hilo rumu analokaa maana yy yupo peke yake,kufika mle ndani tukaongea kama dakika 30 hivi.

mara wakaja washkaji wanaosoma nao wakaanza kumuuliza leo hatufanyi discussion,akasema tutafanya ila usiku,basi wale jamaa wakawa wanapiga naye stoti mbili tatu mle chumbani kwake na mm nipo humo humo

Basi baadaye kaniomba anaomba akafanye discussion kidogo ila akaniachia chumba chake na funguo yake mm nikajua hapo mambo yamejipa akaniahidi kwenye saa 11 hivi jioni atakuwa amerudi basi wacha nikae mle ndani kuanzia saa saba hadi saa moja na nusu nashangaa ananitumia message mpe funguo huyo jirani yangu nimempigia simu anakuja kuchukua funguo maana nitachelewa kurudi ww nenda nitakutafuta nikimaliza mitihani,nikamjibu tarehe 26,

Nikamwambia nitakusubiri akasema sitaki unisubiri wewe mm mke wa mtu so akija jamaa mtaleteana ugomvi yaani mpaka naandika hii nyuzi nimeumia vibaya natamani hata ningemuibia baadhi ya vitu vyake shenzi sana huyu
 
Hahahaaaahaa umenichekesha sn,ful kuchomeshwa mahindi..ss alikua na maana gan kukuacha ndan mda wte huo?au ndo ujue getoni kwake kupoje?poleee.
 
Du pole sana nilikua na asira hila zote zimeisha kwa s@babu ya kucheka
 
Hahahaaaahaa umenichekesha sn,ful kuchomeshwa mahindi..ss alikua na maana gan kukuacha ndan mda wte huo?au ndo ujue getoni kwake kupoje?poleee.

aisee imeniuma sana jamani nimejuta japo ni mzuri na figure nzuri lakini ananata sana
 
ahahaaaaa huyo dada kaamua kukuchezea akili kwani hizo dk 30 yaan nusu saa mlikuwa mnaongea nin wakati ndio ulikuwa muda muafaka wa kumnjunja
 
Aisee kuna dada mmoja anasoma chuo fulani hapa moshi namfukuzia siku nyingi lakini alikuwa bado haeleweki.

Cha ajabu leo kaniita kwenda hadi hapo anapoishi maana yeye amepanga mbali kidogo na chuo ikabidi niende pande zile hadi hilo rumu analokaa maana yy yupo peke yake,kufika mle ndani tukaongea kama dakika 30 hivi.

mara wakaja washkaji wanaosoma nao wakaanza kumuuliza leo hatufanyi discussion,akasema tutafanya ila usiku,basi wale jamaa wakawa wanapiga naye stoti mbili tatu mle chumbani kwake na mm nipo humo humo

Basi baadaye kaniomba anaomba akafanye discussion kidogo ila akaniachia chumba chake na funguo yake mm nikajua hapo mambo yamejipa akaniahidi kwenye saa 11 hivi jioni atakuwa amerudi basi wacha nikae mle ndani kuanzia saa saba hadi saa moja na nusu nashangaa ananitumia message mpe funguo huyo jirani yangu nimempigia simu anakuja kuchukua funguo maana nitachelewa kurudi ww nenda nitakutafuta nikimaliza mitihani,nikamjibu tarehe 26,

Nikamwambia nitakusubiri akasema sitaki unisubiri wewe mm mke wa mtu so akija jamaa mtaleteana ugomvi yaani mpaka naandika hii nyuzi nimeumia vibaya natamani hata ningemuibia baadhi ya vitu vyake shenzi sana huyu

acha uroho
 
ahahaaaaa huyo dada kaamua kukuchezea akili kwani hizo dk 30 yaan nusu saa mlikuwa mnaongea nin wakati ndio ulikuwa muda muafaka wa kumnjunja

hapo mlango kaacha wazi ukutaka kurudisha kidogo anasema acha mlango wazi hewa iingie halafu mara anatoka anchukua hiki mara kile
 
Back
Top Bottom