Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,508
- 94,625
STI sio?Subaru Impreza
STI sio?Subaru Impreza
Umeinunua bei gani mkuu?Subaru Impreza
Sio kwamba nimeshindwa kufanya uamuzi, nilikuwa nashare nijue mngekuwa nyie mngefanyaje. Actually I'm 24 - 26Ahsante kwa tangazo, likifika gari la pili nishtue na mimi.
Uko serious umeshindwa kufanya maamuzi juu ya hilo??, una umri gani?
Suala la marriage huwa linakuja baadae sana labda baada ya mwaka hivi tukishajuana zaidi ndio hayo mawazo ya ndoa yaje. Nilikuwa nataka kumdate tuKwani wewe lengo lako kwa huyo dada ni kumuoa au ni kumega kisela na kusepa..?
Ungeshare mkuu opinion yako maana binadam tupo tofauti, tumekulia mazingira tofauti tofauti yenye experience tofauti kwa hiyo hata the way of thinking lazima iwe tofautiNimejikuta nasikitika tu.....
Na I'm sure hata wazazi wako wana mashaka na uanaume wako
Subaru Impreza, thanksUmesahau kutuambia aina ya gari but nuff appreciation kwa kununua gari linalomkimbiza moyo mtoto wa restaurant
kazi yangu inahusisha kuandika sana kwa hiyo muda wote nipo kwenye computer, siwezi kukosa a few minutes kuingia Jamii Forums ku share somethingWakamwambia mbona hata kuandika kwako braza kunaonyesha wewe si mtu wa Busy
hapana ni GH3STI sio?
Look for a descent na fear god wife.. ujenge holy family na update kazi chema.. maisha ya sasa Mmmmh!! Utaliwa ulizochuma na kujiangamiza....hapana ni GH3
Asante kwa ushauri mzuriLook for a descent na fear god wife.. ujenge holy family na update kazi chema.. maisha ya sasa Mmmmh!! Utaliwa ulizochuma na kujiangamiza....
Una haki zote kujivunia kizazi chema na kufurahia Malezi yao day by day....Asante kwa ushauri mzuri
Kuandika muda wote sio kuwa busykazi yangu inahusisha kuandika sana kwa hiyo muda wote nipo kwenye computer, siwezi kukosa a few minutes kuingia Jamii Forums ku share something
WANAUME WA KINONDONI HAONalo ni jambo la kuleta humu,aiseee Hawa wanaume waliolelewa na bibi zao shida sana
ndo maana likaitwa jukwaa husikaHili nalo unahitaji maoni ya wajumbe mkuu?
define busyKuandika muda wote sio kuwa busy