Ingekuwa enzi ujana unanisumbua hapo nshafuta namba kitambo. Wapo wengi hao kata mti panda mti.
wanaume huwa hatujibu poa futa namba yangu hayo mambo waachie wanawake af hapo ni mbinu sio lazima umuite mpenzi sijui we mjali tu atakuwa wako maana hana uhakika kama aingie kwa relation au laa na kwa asilimia kadhaa ashakukubali sema sijui kwanini hatuna mbinu za kisaikolojia watu mnakuwa wagumuuuu tumbia akili na mbinu acha kukomaaa utamkosa mazima.Jamani wana jamvi ,mimi kuna demu mmoja hivi ninamtongoza yapata wiki mbili hivi mpaka sasa ,lakini jibu lake ni moja tu" anasema kwa sasa hataki kuwa na mpenzi coz anataka kumpumzika ".Ila kinachonishangaza ni kwamba kila nikikutana nae na kumuomba nimkumbatie huwa anakubali ,Na nikimuomba tupige story huwa anakubali na nampiga mpk mabusu.Ila ni kitu kimoja tu ambacho hakipendi '"Nikimuita baby au mpenzi huwa anachukia sana".Juzi nimemtumia sms na kumuomba nikutane nae lkn kanijibu shit sana, "Sitaki kukutana nawe tena na km vp unipotezee tu maana sitaki usumbufu,"
Mimi nikamjibu poa km vp futa na namba yangu kabxa lkn hakunijibu chochote .
Sasa leo hii nimekaa pande za home mida ya mchana,ghafla sms iliingia kwny simu yangu ,nilipocheck nikakuta sms ya yule demu ninayemtongoza ikisema hivi"mmh mbona upo kimya sana" Me sikumjibu chochote maana nilishamtoa akilini mwangu ,
Ninaomba ushauri wenu wadau maana sielewi km ananipenda au ananizingua tu .
Jamani wana jamvi ,mimi kuna demu mmoja hivi ninamtongoza yapata wiki mbili hivi mpaka sasa ,lkn jibu lake ni moja tu" anasema kwa sasa hataki kuwa na mpenzi coz anataka kumpumzika ".Ila kinachonishangaza ni kwamba kila nikikutana nae na kumuomba nimkumbatie huwa anakubali ,Na nikimuomba tupige story huwa anakubali na nampiga mpk mabusu.Ila ni kitu kimoja tu ambacho hakipendi '"Nikimuita baby au mpenzi huwa anachukia sana".Juzi nimemtumia sms na kumuomba nikutane nae lkn kanijibu shit sana, "Sitaki kukutana nawe tena na km vp unipotezee tu maana sitaki usumbufu,"
Mimi nikamjibu poa km vp futa na namba yangu kabxa lkn hakunijibu chochote .
Sasa leo hii nimekaa pande za home mida ya mchana,ghafla sms iliingia kwny simu yangu ,nilipocheck nikakuta sms ya yule demu ninayemtongoza ikisema hivi"mmh mbona upo kimya sana" Me sikumjibu chochote maana nilishamtoa akilini mwangu ,
Ninaomba ushauri wenu wadau maana sielewi km ananipenda au ananizingua tu .
"Me sikumjibu chochote maana nilishamtoa akilini mwangu"
Unahitaji msaada wa nini wakati ushasema hapo [emoji121]ushamtoa akilini?
Na wewe Play Hard to Get muwe even
Nakuhurumia sana!Jamani wana jamvi ,mimi kuna demu mmoja hivi ninamtongoza yapata wiki mbili hivi mpaka sasa ,lakini jibu lake ni moja tu" anasema kwa sasa hataki kuwa na mpenzi kwa sababu anataka kumpumzika "
Ila kinachonishangaza ni kwamba kila nikikutana nae na kumuomba nimkumbatie huwa anakubali na nikimuomba tupige story huwa anakubali na nampiga mpaka mabusu la ni kitu kimoja tu ambacho hakipendi '"Nikimuita baby au mpenzi huwa anachukia sana.
Juzi nimemtumia meseji na kumuomba nikutane nae lakini kanijibu shit sana, "Sitaki kukutana nawe tena na kama vipi unipotezee tu maana sitaki usumbufu mimi nikamjibu poa kama vip futa na namba yangu kabisa lakini hakunijibu chochote.
Sasa leo hii nimekaa pande za home mida ya mchana,ghafla meseji iliingia kwenye simu yangu ,nilipocheck nikakuta meseji ya yule demu ninayemtongoza ikisema hivi"mmh mbona upo kimya sana" Me sikumjibu chochote maana nilishamtoa akilini mwangu ,
Ninaomba ushauri wenu wadau maana sielewi kama ananipenda au ananizingua tu .
hii ndio jibu sahihi ...."Me sikumjibu chochote maana nilishamtoa akilini mwangu"
Unahitaji msaada wa nini wakati ushasema hapo [emoji121]ushamtoa akilini?
Na wewe Play Hard to Get muwe even
Na usikute ni mwanaume wa Dar ndo wenye tabia za kulialia mitandaoni.Sasa kama umemtoa akilini unataka ushauri wa nini ebu kuwa mwanaume unawadhalilisha wanaume wenzio halaf jua tu huyo mdada hakupendi kabisa