shuve
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 312
- 103
Huyu msicha nimekua nae michezo yote ya utoto nimecheza nae! Ila alikuja kuwa Malaya sana baada ya mimi kuondoka hapo niliopo kua na kaa lakini habari zake zote niliambiwa na baadhi ya matukio yalitokea bado cjaondoka! chakushangaza tumepoteana sana! milima haukutani lkn binadamu lazima tukutane! tukakutana juzi akanikumbatia kwa nguvu mbele ya watu Ila anataka niwe nae kwa sasa natusahu yalio pita na mm pia na mpenda sana! sasa cjui nifanye nn kwasababu huko aliko pita sidhani kua kuna usalama!
na anataka tupate mtoto na yeye yuko tayari hata kesho!
Sijui nifanye nn naombeni mnisaidie wana Jf! nawategemea sana!!!!!!!!!!!!!!!
na anataka tupate mtoto na yeye yuko tayari hata kesho!
Sijui nifanye nn naombeni mnisaidie wana Jf! nawategemea sana!!!!!!!!!!!!!!!