Huyu msanii noumaa....msome hapa

Huyu msanii noumaa....msome hapa

DCLXVI

Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
''YEAH NI TEMBA hapa au
YEAH NI CHEGE hapa...!!!
Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA...!!!"
Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee

JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONE♥
 
Ningejitambulisha kwa kusema "YEAH NI CleverKING HAPA" wewe ulifikiri na sisi majina yetu wote ni KINYA?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom