Vituko vya msaani na mashabiki wake!!

Vituko vya msaani na mashabiki wake!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,417
Reaction score
29,087
Msanii mmoja aliekuwa anaitwa "kinya" alikuwa anaperfom jukwaanani!!kabla ya mziki kuanza kumbe kulikuwa wasanii wenvine ikabidi wajitambulishe!!!
Kama mnavyojua ikabidi kila mmoja ajitambulishe!!
Ikaanza na mh.temba!!
Temba" yeah!! temba!!!(kama mnavyojua swaga zao za kujiyamvulisha)
Chege:yehni chege hapa!!!
Dudu baya;yeah ni dudu baya hapa!!
Mr.blue !!yeah ni mr.blue hapa!!
Sasa ilipofika kwa :kinya: akasema yeah!! Ni kinya hapa!!
Mashabiki wakapaza sauti kwa nguvu wakasema utazoaaaaa[emoji23] [emoji23]
 
Ahsante, ila kuna jukwaa la jokes na udaku, uzi huu ndio ingekuwa mahala pake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom