Mapenzi yapo huduma zote ananipa majina yote ya mahaba naitwa, ila kama mwanaume alieenda shule na kujitambua naona kiunganisho kikuu na yeye ni hali yangu ya uchumi kwa sasa.
Men we need to be realistic, huyu mrembo hawezi kunivumilia nikifilisika kabisa na nikianza kazi ya boda bado incase, hata nipenda kamweeee, their hypocrical in nature utawasikia mimi siko hapa kwa ajili ya pesa zako... ....
Sasa filisika kabisa ndio utaona the true colours of a woman, mimi sitaki stress au fatique nimemuambia live baada ya kuninunia sasa wiki nzima kisa pesa za kijinga kijinga.
I declare openly siku nitakapofilisika au nikipata ugonjwa wa kudumu sitarudi nyumbani nitaanza maisha mengine na low demanding woman mwenye humble beginning wa kijijini with low education level as long as she can scream in the bed, huyu slay queen ntaachia wenye uwezo wa pesa wasio jua kwamba wako after money tu.