Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,950
- 8,918
je vp yule mumeo anayekudundadunda ushaachana naeKweli kabisa hat mimi nafikiria hivyo hivyo hata kama hatangazi ndoa at least angeweka misingi ya mahusiano yetu
je vp yule mumeo anayekudundadunda ushaachana naeKweli kabisa hat mimi nafikiria hivyo hivyo hata kama hatangazi ndoa at least angeweka misingi ya mahusiano yetu
Ha ha ha ha aisee wewe jerrytz acha kuniumiza mbavu zanguHii ndio mnaaita " long distance relationship" ?
misingi ya mapenzi yetu. Unajua kitu chochote kinahitaji misingiKama unampenda give him some time utafurahia maisha usiteme JoJo kwa karanga za kupewa mkononi. Mimi wangu tulikaa hivyo miaka minne tena akiwa anafanya kazi na Mimi mwanafunzi wa chuo Mwanza to dar mwisho mambo yame tick tunafurahia maishaaa. Ila kama umependa kweli na sio masihara mjumbe.
ukimpa na huyu wa sasa atakugonga afu atasepa, kuwa makini na kulambisha lambisha ovyo,kama una malengo ya mbali na huyo jamaa kaa nae muongee kiutu uzima , km unataka starehe tu, mpe mgegedo afu muendelee kupiga makitaimu..Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.
Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.
Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.
Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.
Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?
Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
Yule talaka tayari nishapata.je vp yule mumeo anayekudundadunda ushaachana nae
Yule talaka tayari nishapata.

Sio hivyo kaka yangu, yaani hata kuongelea mambo yetu na kuweka misingi ya mahusiano yetu nayo inahitaji nini maana muda wa miaka miwili tulikuwa tunajuana ndo maana tukadumu muda wote huo. Cha kushangaa ndo hicho he doesnt care anything about our future
Ni kweli yaani nampenda sana huyu wa Dar yaani hata sielewi kwa nini yeye hashtuki kuwa mi nalala namuota yeye ndo maana napatta nguvu ya kywakataa wengine kwa sababu nampenda sana yeye, Na analijua hilo lakinin hata hashtuki
"kukutanisha miili" "kufahamiana"
Cc wapendwa Kaboom Mentor BADILI TABIA Paulo Sergio De Souz
Raimundo
Mmmh sio kwamba nawe unataka kukutanisha miili?Ha ha h ah ah mpendwa...ni shida sana kwa kweli!
Ila huyu ni heri awaache wote aje kwangu...tena mimi na nauli nitamtumia tumfanyie maombi! Nisaidie kumshauri hilo mpendwa.
Mmmh sio kwamba nawe unataka kukutanisha miili?
Huyo mwamaume wa kukutangazia ndoa kwa kuonana siku mbili tu ni nani na wewe? Tulia uchunguzwe acha kwikwiNaomba msaada wa ushauri hasa wanaume.