Dyudyu ni hatari sana, njombe hadi dsm duuh!!Miaka 2 bado hakuna jipya dada unatumika,
Fimbo ya mbali haiui nyoka huyo wa karibu alieonyesha nia mpe nafasi japo kwa kuanzia usiingie mzima mzima Anza kwa kumchunguza.
Ila mkuu Njombe mpaka dar unafuata dyudyu tu
kwamba?Kubali tu huyo mwenye malengo nawewe ndugu yangu... wanaume wenyewe wa dar?? mgegedo mpaka upate nafasi ya kuja? huna chako huku
kwamba?
hahahah...upo katoto ake?Asisubirie mpaka aambiwe hana mpango wa kumuoa ajiongeze tu kabla hajashuhudia yakushuhudika aje ahadithie mpaka vitukuu vyake!!!
miss u mami akeKama unavyoniona daddy ake
Teh teh..Kamusi yetu inazidi kuongeza misamiati tu..Safi sana"kukutanisha miili" "kufahamiana"
Cc wapendwa Kaboom Mentor BADILI TABIA Paulo Sergio De Souz
Raimundo