Huyu mpenzi wangu simuelewi

Huyu mpenzi wangu simuelewi

mkuu kusoma hujui hata picha huoni? Ww tayar umewekwa uwanja wa mazoez,
 
Uyo wa Dar mfanye mchepuko huyo mwenye nia mfanye mme, hakuna kuacha kitu apo wanawake wenzako wanatamani wapate ata mwanamme mmoja hawapati, wewe unao wawili unajiuliza.!!!
Duuuuh!!!!!!!!!!!! mkuu umemaliza
 
Kuna mambo mengne tunakua tunaona na tuna majibu ila hatutaki kukubali ukwl tunatafuta ushauri kwa watu tukihisi watatuambia vitu vya kutupa matumaini.
1.Najua unajua kabisa kuwa huyo jamaa hana nia na ww inshrt anakutumia tu ukija dar ndo anakumbuka kuwa upo and for da record huwez kumwambia mtu tuachane akasema sawa hata kama hakutaki ni asilimia 90%.
2.long distance relatnship?! hahahaa nvr work ma dia yn inahitaji nguvu nyng sn ni mpk muwe mnapendana sn na hapo inaonekana wote hamjielewi.so anza mapema b4 its too late 4 u.I talk thru experience
 
Umenikumbusha mbali nilipata demu yeye home moshi mm nipo mwanza na yeye dsm kukutana paka mwenzi wa 12 mm nitoke mwanza na yeye atoke dsm tupo kunye mahusiano mwaka wa nne sasa
 
Inaonekana wadada wengi mnaolewa na wanaume ambao si chaguo lenu!!!

Unawezaje kusema nimpige chini huyu kwamba labda huyu mpya aweza nioa!!!!!

Kumbe huwa hamna mapenzi ni ndoa tu ndio zinafuatwa!!!!
 
We nae had uambiwe hakutaki?chapa lapa huyo anakudinya tu hana mpango wa ndoa,Siku ukienda tena utamkuta kaoa teeeh
 
Umri wako utatupa mwanga wa aina ya uahauri wa kukupa
 
Hii ndio mnaaita " long distance relationship" ?
 
mpige chini wa zamani anakupotezea muda mkubalie mpya uolewe mwishowe utazeeka mwanaume akikupenda kweri huwa achelewi kutangaza ndoa sasa huyo jamaa miaka yte hiyo wewe ndo unalialia
Kweli kabisa hat mimi nafikiria hivyo hivyo hata kama hatangazi ndoa at least angeweka misingi ya mahusiano yetu
 
N
Unampenda yupi kati ya hao?..Ila huyo wa Dar anaweza kuwa Magumashi..Na huwezi kujua uenda ana mtu wake huko..
Nampenda sana wa Dar japo ndo simuelewi elewi, halafu hata yeye labda kwa vile anajua nampenda sana ndo maana analeta majidau
 
Ni kweli yaani nampenda sana huyu wa Dar yaani hata sielewi kwa nini yeye hashtuki kuwa mi nalala namuota yeye ndo maana napatta nguvu ya kywakataa wengine kwa sababu nampenda sana yeye, Na analijua hilo lakinin hata hashtuki
Sio "anaweza" akawa huyo ni muhuni tu na dada ndio kafa kaoza
 
limekaa kiugumu cha kufanya si kuwa na mtu tuu bali ni yupi kati yao unampenda and "kupanga ni kuchagua" ukishindwa mupanga manake umeshindwa kuchagua by the way take care!!!
Asante.
 
Sio hivyo kaka yangu, yaani hata kuongelea mambo yetu na kuweka misingi ya mahusiano yetu nayo inahitaji nini maana muda wa miaka miwili tulikuwa tunajuana ndo maana tukadumu muda wote huo. Cha kushangaa ndo hicho he doesnt care anything about our future
Mmejuana mwaka 2014 mmekuja kuonana mwaka 2015, kwa hiyo wewe ulitegemea baada ya kuonana kwa mara ya kwanza atangaze ndoa moja kwa moja wakati hajapata hata muda wa kukaa na wewe na kukufahamu kiundani zaidi ili ajue kama unafaa kuwa mke wake au la?

Angalia dada yangu, tamaa na shauku yako ya kutaka kuolewa haraka haraka isije kukusababisha ufanye uchaguzi usio sahihi. Muombe Mungu sana ili akusaidie kukuangazia ni yupi anayekufaa. Kumbuka "Mvumilivu siku zote hula mbivu" na "Haraka haraka, haina baraka."
 
Back
Top Bottom