Unampenda yupi kati ya hao?..Ila huyo wa Dar anaweza kuwa Magumashi..Na huwezi kujua uenda ana mtu wake huko..
Hakika mkuu..dada zetu wamefanya ndoa kama njia ya kutokea kimaisha!..wako tayari kufanya lolote utangaze nia🙄kwanini nyie wanawake mnapenda sana kuolewa? mkisikia neno ndoa mishipa ya akili yote inapasuka! mmekuwa cheap sana kupanua miguu. hata huyo jamaa anaekuahidi ndoa akishakupanua anasepa. kama shida yenu ndoa tutawapanua sana . si kila mwanamke ni wa kuolewa hata bila ya kupanua kama wa kuolewa utaolewa. mnapoelekea mtataka kuolewa hata na kaka zenu.
Teh teh..Huwezi jua bana..Labda jamaa anajielewa..Sema bado hajawa tayari kuongelea ndoa..Huyu dada inabidi amuulize jamaa zen amsikie anasemajeSio "anaweza" akawa huyo ni muhuni tu na dada ndio kafa kaoza
Teh teh..Huwezi jua bana..Labda jamaa anajielewa..Sema bado hajawa tayari kuongelea ndoa..Huyu dada inabidi amuulize jamaa zen amsikie anasemaje
Follow what ur heart tells u,the rest u hear from us mix with yours then conclude but never relay too much on other's suggestions especially on this kind of situation simply end of the day its ur damn future life depend on what u decide todayNaomba msaada wa ushauri hasa wanaume.
Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.
Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.
Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.
Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?
Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
Nope..Uenda jamaa anaogopa kutangaza ndoa mapema coz hawajapata muda wa kukaa na kujuana vizuri..Kumbuka mapenzi yao kwa asilimia kubwa ni kwenye simu..Katika kipindi chote cha mahusiano yao wamekutana mara tatu tu..Ah wapi.! Unawasiliana na mtu miaka miwili kimapenzi hata kugusia chochote hakuna??
Ila kaka mstaarabu hataki kumdanganya binti na kumpa mawazo ya kuolewa nae sababu anajua hana
Nope..Uenda jamaa anaogopa kutangaza ndoa mapema coz hawajapata muda wa kukaa na kujuana vizuri..Kumbuka mapenzi yao kwa asilimia kubwa ni kwenye simu..Katika kipindi chote cha mahusiano yao wamekutana mara tatu tu..
yeah..Inabidi atulie kabla ya kufanya maamuzi..Coz hata huyo jamaa aliyetangaza ndoa anaweza kuwa mzinguaji vile vile..Si unawajua vijana wa siku..Wako ladhi hata kukuvicha Pete ya uchumba ili mradi tu wapate papuchi..Ukishawavulia chupi mara kadhaa wanakuacha na pete yako kidoleniNgumu kumeza aiseee.... Ila kama anataka kugundua maumivu ya kukosa kote aendelee na jamaa wa dar tu mbona atakuja tena kuanzisha uzi humu
aiseeeKitufe cha unlike kipo wapi eti?
aiseee
jaman bby...just nowJana nimekusubiri weeeee mvua jua lote kwangu....sawa tu lakini
jaman bby...just now
Hivi hujui kuwa imeandikwa kuwa mwanamke huwa hapendi ila hupendwa na mwanaume? Hivyo aliye tayari kuoa ndiye wa maanaKubali tu huyo mwenye malengo nawewe ndugu yangu... wanaume wenyewe wa dar?? mgegedo mpaka upate nafasi ya kuja? huna chako huku
Hivi hujui kuwa imeandikwa kuwa mwanamke huwa hapendi ila hupendwa na mwanaume? Hivyo aliye tayari kuoa ndiye wa maana
Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume.
Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na tukajuana tukakumbatiana sana na kukakutanisha na miili yetu ambapo nililala kwake siku mbili.
Cha kushangaza nilidhani tulivyoonana ndo ingekuwa muda mzuri kwa mimi na yeye kupanga mikakati ya mahusiano yetu lakini haikuwa kama nilivyodhania. Alikaa kimya na kunisindikiza kwenda kupanda gari kurudi kwetu Njombe yeye akiwa Dar es Salaam.
Nilipata safari ya pili kwenda Dar nilifikia kwake na nikalal siku moja na kurudi kwetu bila mipango yoyote juu ya mahusiano yetu.Sasa nikwamba tunawasiliana kama mtu na mpenzi wake kwa miaka miwili sasa lakini haoneshi mwelekeo wowote wa kuwa ananihitaji in future na wala hasemi chochote na kila nikisema nataka kumuacha huwa hakubali.
Siku za karibuni nimepata mwanaume yuko serious kabisaaa anataka kunioasasa naogopa kumkubalia wakati sijajua hatima ya yule wa Dar ambaye hasemi chochote.Naomba kwa mlionielewa mnisaidie mawazo hapo nimpige chini huyo wa zamani nimkubali mpya mwenye nia na mimi au niwe mwaminifu hadi aniache huyo wa Dar?
Nawaza nakosa majibu tafadhali msaada
mpige chini wa zamani anakupotezea muda mkubalie mpya uolewe mwishowe utazeeka mwanaume akikupenda kweri huwa achelewi kutangaza ndoa sasa huyo jamaa miaka yte hiyo wewe ndo unalialiaNaomba msaada wa ushauri hasa wanaume.