Kuoa hakuna umri...20,22,23.......40.Kwanini usirudi chuo ukasome tena?...Naona umesoma chuo but hujaelimika kabisa kiasi cha kushindwa kutumia hesabu nyepesi kama za kutafuta namba inayofuata?...
Sioni ushauri wowote unaohitaji kwetu ila tambua hili..."Sio kila mwanamke ameumbwa kuwa mke wa ndoa...Wengine wameumbwa kuwasaidia wenzao walio kwenye ndoa.....Michepukoooooooo"
Yuleeee girlfriend uliyemuacha ndio "Mke wa ndoa " na huyu mtu mzima uliyenaye ndio "Mchevukooooooo"....Umeelewa wewe mtoto wa shule?...Miaka 28 unaoa unawahi nini?.....Videmu vyemnyewe ulivyoisha gonga hujazi hata basi moja la mwendo kasi...Kiherehere chako kuwahi ndoani wakati shughuli za ujana hujamaliza...Mwishowe uwasababishie watu wakose appetite ya ndoa kwa kukutazama wewe utavyokuwa unazagaa na malaya mitaani wakati una mkeo mzuri na watoto nyumbani....
By the way unaoa ushajenga?....Au unataka kuwatesa wakwe wakija kukusalimia dar uwalaze sebuleni kwenye makochi na madumu ya maji uliyojaza ndani mwako?
Elimu....Elimu....Elimuuuuu.
Haaaaaa haaaa umenichekesha sana we jamaaaKwanini usirudi chuo ukasome tena?...Naona umesoma chuo but hujaelimika kabisa kiasi cha kushindwa kutumia hesabu nyepesi kama za kutafuta namba inayofuata?...
Sioni ushauri wowote unaohitaji kwetu ila tambua hili..."Sio kila mwanamke ameumbwa kuwa mke wa ndoa...Wengine wameumbwa kuwasaidia wenzao walio kwenye ndoa.....Michepukoooooooo"
Yuleeee girlfriend uliyemuacha ndio "Mke wa ndoa " na huyu mtu mzima uliyenaye ndio "Mchevukooooooo"....Umeelewa wewe mtoto wa shule?...Miaka 28 unaoa unawahi nini?.....Videmu vyemnyewe ulivyoisha gonga hujazi hata basi moja la mwendo kasi...Kiherehere chako kuwahi ndoani wakati shughuli za ujana hujamaliza...Mwishowe uwasababishie watu wakose appetite ya ndoa kwa kukutazama wewe utavyokuwa unazagaa na malaya mitaani wakati una mkeo mzuri na watoto nyumbani....
By the way unaoa ushajenga?....Au unataka kuwatesa wakwe wakija kukusalimia dar uwalaze sebuleni kwenye makochi na madumu ya maji uliyojaza ndani mwako?
Elimu....Elimu....Elimuuuuu.
Vipi umemuoa binti??Labda nitoe angalizo,
Watu mnaonitupia vijembe humu hamnitendei haki kabisa,
Ndio maana nmeomba ushauri wenu pia niamue what to do,
Haya yangu sio mapya sana kwenye jamii na maisha yetu, kuna watu yamewakuta zaidi ya haya. Mimi kwa upande wangu sioni kama nimekosea sana maana sijamuoa bado..
But nashukuru kwa ushauri wenu wakuu..
Things are not different anymore kama ylivo expect.Duh,
Hilo hata halihusiani ndugu,
BTW , hayo mambo ni long way back, siku hizi hakuna mwanaume anahangaika kutongoza wanawake,
Ukiwa tu smart, msafi, kipato kiasi na ukajiheshimu wanakutongoza wenyewe,
Na pia kuna watu humu mnajitutumua as if you are so much experts kwenye mapenzi, but usiku kucha mnalia na mmeshaingia kwenye ndoa.
Sitaki kufika huko ndio maana nimejianika hapa Leo.
Nilirudiana nae huyu mpenzi wangu kwa kuwa nampenda niliamini things would be different,
Thanks nimepata ushauri mzuri kwa baadhi ya watu humu.
Nashukuru kwa comment yako pia.
Sasa mkuu tunaweza kukushauri kumbe tunapoteza tu muda?? Kwasababu tayari akilini umeshajipangia nini cha kufanyaMkuu Young master,
Sidhani kama ni kosa kuja kuuliza wakongwe humu,
I am just a human , I am weak somewhere like you and all men, ingawaje Nina sababu za kujiona shujaa kwa kuweka hadharani madhaifu yangu ili nipewe ushauri,
Wengi wetu Men hujitia wajuaji na Kuvumilia maumivu kimyakimya huku tukipretend kama vile things are right.mwishowe stress, free radicals zinazalishwa kwa wingi kwenye mzunguko wa damu, mtu anazeeka na kufa kabla ya wakati,
Mimi sioni tatizo kupata uzoefu juu ya haya mambo kabla ya kuamua .
Nimeomba tu ushauri na sio nimeomba nipangiwe la kufanya.
Thanks for your concern anyway.
Kwanini usirudi chuo ukasome tena?...Naona umesoma chuo but hujaelimika kabisa kiasi cha kushindwa kutumia hesabu nyepesi kama za kutafuta namba inayofuata?...
Sioni ushauri wowote unaohitaji kwetu ila tambua hili..."Sio kila mwanamke ameumbwa kuwa mke wa ndoa...Wengine wameumbwa kuwasaidia wenzao walio kwenye ndoa.....Michepukoooooooo"
Yuleeee girlfriend uliyemuacha ndio "Mke wa ndoa " na huyu mtu mzima uliyenaye ndio "Mchevukooooooo"....Umeelewa wewe mtoto wa shule?...Miaka 28 unaoa unawahi nini?.....Videmu vyemnyewe ulivyoisha gonga hujazi hata basi moja la mwendo kasi...Kiherehere chako kuwahi ndoani wakati shughuli za ujana hujamaliza...Mwishowe uwasababishie watu wakose appetite ya ndoa kwa kukutazama wewe utavyokuwa unazagaa na malaya mitaani wakati una mkeo mzuri na watoto nyumbani....
By the way unaoa ushajenga?....Au unataka kuwatesa wakwe wakija kukusalimia dar uwalaze sebuleni kwenye makochi na madumu ya maji uliyojaza ndani mwako?
Elimu....Elimu....Elimuuuuu.
Huyo hakupendi toka mwanzo na hatakuja kukupenda zaidi ya kukuumiza tafuta demu atayekupenda kwa dhatiHabari za wakati wana jf.
Naomba ushauri wenu tafadhari.
Mimi ni kijana wa miaka 28, kwa sasa ninaishi dar, elimu yangu ni chuo kikuu, Nina kazi na kipato changu ni cha wastani.
Katika maisha yangu, nilimpenda msichana mmoja wakati nipo kidato cha tano,
Yeye wakati huo alikuwa kidato cha nne,
Kwa ufupi, ni msichana mweupe, msafi, mrefu wa wastani , ana staha, ni mzuri, ana shape nzuri kiasi kwamba wanaume wengi huvutiwa kuwa nae.
Ni msichana ambaye tumetoka kijiji kimoja, kwa umri nimemzidi mwaka mmoja, amemaliza chuo mwaka huu maana alisoma diploma kwanza, (another story though..)
nilianza kumtaka kimapenzi huyu binti tangu wakati huo, Mimi nilikuwa nasoma shule ya Wavulana na yeye alikuwa shule ya mchanganyiko..
Nilitamani sana kuwa nae, kuna wakati alinikubali, lakini haikudumu kwa muda aliniambia haoni nafasi yangu moyoni mwake,
Nilijitahidi sana kuubadilisha moyo wake, nilijitoa kwake Mara nyingi na kwa mengi sana, lakini haikufaa, japo alikuwa akinifariji kuwa kama imepangwa awe wangu atakuwa tu..
Ni Mara mbili alinikubalia na mwenyewe akaniacha
Wakati huo Mimi pia nilibahatika kupendwa na wasichana wengine, nikatoka nao japo bado sikuamini kama naweza kuishi bila yeye.
Na pia yeye kuna wakati nilishuhudia akiwa na mahusiano na vijana wengine , iliniuma kweli na nilipojaribu kuachana nae haikuwa rahisi kabisa kwangu.
Nilipokuwa chuo nilikuwa namtembelea Mara kwa Mara(tulikuwa vuo tofauti vilivyopo mji mmoja) , japo yeye kunitembelea ilikuwa hadi nimlazimishe, au awe na shida binafsi.
Baada ya Kumaliza chuo niliondoka nikamuacha yeye bado yupo chuo na kwa hapo mawasiliano baina yetu yalififia,
Japo sikumsahau ila nilijisemea moyoni kuwa sio lazima niwe na yeye maana huku mtaani wanawake ni wengi sana na wengine wananitaka tena kwa kunitongoza.
Nilijichanganya na wanawake wengine japo nilijitahidi kuwa makini kulinda Afya na heshima yangu kwa ujumla.
Baada ya siku na miaka kadhaa kuenda hatimaye nilipata binti mwingine aliyenipenda sana, kuna wakati alikuwa hadi ananikera, maana haishi kunisumbua kwa simu na meseji hata nikiwa kazini au kanisani..
Kwakweli nilijiaminisha kuwa huyu ndiye niweke malengo nae, kwa pamoja tulifurahia sana mahusiano yetu..
Lakini wakati wote huo sikuweza kumsahau X wangu pamoja na kuwa na huyu binti mpya.
Ilikuwa tunakumbukana japo Mara moja kwa mwezi.
Sasa ilifika wakati huyu X niliyemtafuta kwa miaka bila success akaniuliza kama bado nampenda;
Kwakweli nilifikiria sana ila nikaja na jibu moja kuwa 'NDIO' (stupid udhaifu wa wanaume tulio wengi)
Akanitumia picha moja tuliyopiga pamoja zamani sana akaniambia niiweke profile ya Whatsap..
Ilikuwa ni vigumu sana, lakini nikajikuta nimeiweka. (Mpenz niliekuwanae hakuwa Whatsap) kwaiyo hapo miundombinu haikuwa migumu kwa upande wa pili.
baada ya kuona maswali na majibu yanachukua umaarufu katika conversations na ma-ex na marafiki na ndugu na jamaa, niliamua kuitoa ile picha..
Huku nikiamini nimemridhisha huyu mwanamke.,
Siku kadhaa baadae aliniambia anataka kuja dar kutafuta laptop hivyo angependa afikie kwangu na akataka nimjibu kama hilo linawezekana..
Hahahahaha..
Kwakweli lilikuwa ni swali rahisi sana zaidi ya swali la factors for rise and fall of mali empire kwenye history au lile swali la kuprove kama acceleration due to gravity = 9.8ms-1 kwenye simple harmonic motion..)
Ili kuhakikisha habadilishi mpango wake nilimwambia anitumie hiyo budget ya PC nimtafutie mwenyewe ili akija asipate shida ya kwenda kariakoo au mlimani city kabisa,
Kwakuwa binti ananiamini katika mambo mengi ya maisha alinitumia ile pesa huku nikimkoleza kwa kumuahidi kumtafutia PC adhimu..hatimae kama ndoto hivi nilimpokea binti ubungo, nikaenda nae hadi geto kwangu sinza,
Nilikaa nae kwa siku 4 ndani, yaani siku zote hizo ilikuwa ni kama ndoto kwangu aisee, nilimtafuna mtoto wa watu hadi akawa anashindwa kufumbua macho,
Yaani nilienjoy hatari, sikuwahi enjoy sex kiasi kile.
Wakati mahaba yamenoga, nikaamua kumwambia kuwa Nina mpenzi mwingine na ananitegemea na kuniamini sana,
Hakuonesha kustuka,
Akafikiria kwa muda, akaangalia picha ya mpenz wangu, akaonekana kumhurumia, akaniambia niendelee nae tu nisimuache maana yeye hawezi kuolewa na Mimi maana umri wetu ni tumekaribiana sana na amenipa penzi lake kama shukrani ya kumpenda na kumjali kwa miaka mingi.
Moyoni sikuridhika na hayo majibu yake mepesi kabisa maana aliniambia hana mtu na yupo absolutely single at the moment. (Just like a free radical)
Baada ya Siku 4 za uvunjifu wa amri ya sita nikamkatia tiketi akarudi chuo.
Baada ya hapo mawasiliano kati yetu yalishika kasi huku mwenyewe nikianza mchakato wa kuachana na huyu binti mwingine taratibu , nilitaka nimuache kwa njia nzuri ili nisimuumize kwa kuwa umri wake ulikuwa ni mdogo .
Baadae nilifanikiwa kumuacha mpenz niliekuwa nae, nikawa na huyu kwa 100% na nikaacha kila aina ya mchepuko.
Hadi sasa nipo nae yeye tu na huwa anakuja kwangu na kukaa kwa Uhuru na kuondoka Mara kwa mara, ameshahamishia nguo na baadhi ya vitu vyake kwangu.
Tatizo ni Hili,
Amekuwa na watu kadhaa kabla yangu ,
Ingawa hilo sio tatizo sana,
Kuna wakati nimemuona akichati na mwanaume mwingine wakisifiana sana na anaenda mbali zaidi akidai bado anamkumbuka sana , nilipomuuliza akaniambia huyo ndiye alikuwa boyfriend wake wa kwanza,
OMG, nikikereheka na nikampa adhabu Kali ya kisaikolojia iliyomfanya alie mbele yangu hadi nikajikuta nimemsamehe..
Tatizo lingine huyu mwanamke,
she isn't proud of me yet, hanitambulishi kwa rafiki zake freely kama mimi ninavyomtambulisha yeye,
na huwa haoneshi kuumia, hata nikimwambia Leo tuachane yupo tayari..
Nilijaribu kuzungumza nae kuhusu hili akaniambia niwe huru tu kutafuta mwanamke mwingine ikiwa naona yeye hanifai,
Je ni kweli wanawake humuacha mwanaume kirahisi hivyo?
Mara zote ananiambia ananipenda sana but hana wivu na Mimi kabisa,
Ikiwa anawafahamu baadhi ya wasichana na ma -ex wangu wanaonitaka, mmoja tupo nae group moja la Whatsap na huwa haipiti siku asinikumbuke kwa msg za mahaba , na yeye anaona hayo yote maana pia ni mamber ,ila hata haoneshi kujali..
Nimelileta hili humu jf ikiwa tunafikiria kuanza hatua za awali za ndoa mwakani Mungu akipenda.,
Naombeni ushauri wenu wapendwa, nikiwa nafahamu ni bora zaidi kuumia kwa kumpoteza mchumba kuliko kuumia katika ndoa .
Nina nafasi ya kubadilisha maamuzi for betterment of my future.
Je , Huyu mwanamke ananifaa?
Binafsi iko hivii achana na huu ushauri wa jf angekua hahitaji kuwa na wewe msingefika hapo mlipoHabari za wakati wana jf.

Mrejesho :Habari za wakati wana jf.

Hakika, ushauri wako ulikuwa mbele ya wakati. Barikiwa.Binafsi iko hivii achana na huu ushauri wa jf angekua hahitaji kuwa na wewe msingefika hapo mlipo
Beba beba maushauri ya hawa watu wewe umewapa story ya vitu vichache ambavyo kimsingi vinavumilika kama utajiamini.
Tatizo lako hujiamini na umekutana na mtu dont care sasa unaumia wewe instead of yeye.
Enjoy mapenzi yenu fikiria kujiboresha wewe na mwenzi wako instead of kuanza kuwaza kwanini hakutambulishi kwa rafiki zake.
Jikubali,jiangalie wewe na moyo wako furaha yako na amani yako hutaishi na hawa wana wajf wanaokushauri ilimradi tuu. Wewe ndio unajua unachokitaka na kinachokufaa zaidi .
Naam 👌Vipi umemuoa binti??
Sentensi ya kwanza kabisa ina maana kubwa mno.Oa mtu ambae anaogopa kukupoteza, hapo mtakua on the same page.. Lakini kama uwe nae usiwe nae yote sawa, believe me.. Hayupo kwa ajili yako. Inabidi mtegemeane, na pia kwenye mapenzi kama bado una nafasi ya kupata mtu ambaye hakupi stress yani ukiwa nae unarelax.., why kujitaftia pressure mwenyewe? Huyo dada atakupa pressure coz unampenda sana [emoji20]
😂😂😂😂 huu mjibu nimeupenda, kweli wewe who cares huna kona kona tit for tatKwanini usirudi chuo ukasome tena?...Naona umesoma chuo but hujaelimika kabisa kiasi cha kushindwa kutumia hesabu nyepesi kama za kutafuta namba inayofuata?...
Sioni ushauri wowote unaohitaji kwetu ila tambua hili..."Sio kila mwanamke ameumbwa kuwa mke wa ndoa...Wengine wameumbwa kuwasaidia wenzao walio kwenye ndoa.....Michepukoooooooo"
Yuleeee girlfriend uliyemuacha ndio "Mke wa ndoa " na huyu mtu mzima uliyenaye ndio "Mchevukooooooo"....Umeelewa wewe mtoto wa shule?...Miaka 28 unaoa unawahi nini?.....Videmu vyemnyewe ulivyoisha gonga hujazi hata basi moja la mwendo kasi...Kiherehere chako kuwahi ndoani wakati shughuli za ujana hujamaliza...Mwishowe uwasababishie watu wakose appetite ya ndoa kwa kukutazama wewe utavyokuwa unazagaa na malaya mitaani wakati una mkeo mzuri na watoto nyumbani....
By the way unaoa ushajenga?....Au unataka kuwatesa wakwe wakija kukusalimia dar uwalaze sebuleni kwenye makochi na madumu ya maji uliyojaza ndani mwako?
Elimu....Elimu....Elimuuuuu.
Ukimuoa tu huyo mwanamke umekwisha. Kuna mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kuwa mchepuko life liende. Huyo ni wa kuwa mchepuko. Tambua tofautiHabari za wakati wana jf.