Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,287
Hapo hupendwi hata kidogo, anachokifanya mwenzio amekufanya km daraja la kuvukia mto.
Akipata mtu anayempenda lazima akuache, hata ukimuoa utagongewa sana, utajikuta unalea watoto sio wako.
Jins mapenzi yanavyouma hivyo, hata mwenzako hashituki. Una kazi ya ziada.
Ulifanya makosa sana kumuacha huyo binti, huyo ndio alikuwa ndio mke wako. Mwanamke anayekupenda kwa dhati hachoki kukusumbua kweny simu, hata km usiku wa 8 atakupigia.
Ww endelea kuchenguka na weupe wake tu.
Pole sana, ukiona hata haulizwi, jipe pole sana.
Kiufupi hapo umeingia choo cha kike, hauna mke
Wakati mwingine, Mungu hutupa wake au waume pasipo kumuomba lkn kutokana na akili zetu zilizovyo finyu, tunawaacha na kwenda kwingine.
Haya ndio madhara yake. Ukipata mtu anayekupenda, mpende na mshikirie.
Mkuu, huo ndio mzigo wako, ww ubebe tu hata km wa Ma..vi ndio uliouchagua.
Yule uliyemuacha ndio alikuwa mkeo. Pole sana