Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

Kwanini usirudi chuo ukasome tena?...Naona umesoma chuo but hujaelimika kabisa kiasi cha kushindwa kutumia hesabu nyepesi kama za kutafuta namba inayofuata?...

Sioni ushauri wowote unaohitaji kwetu ila tambua hili..."Sio kila mwanamke ameumbwa kuwa mke wa ndoa...Wengine wameumbwa kuwasaidia wenzao walio kwenye ndoa.....Michepukoooooooo"

Yuleeee girlfriend uliyemuacha ndio "Mke wa ndoa " na huyu mtu mzima uliyenaye ndio "Mchevukooooooo"....Umeelewa wewe mtoto wa shule?...Miaka 28 unaoa unawahi nini?.....Videmu vyemnyewe ulivyoisha gonga hujazi hata basi moja la mwendo kasi...Kiherehere chako kuwahi ndoani wakati shughuli za ujana hujamaliza...Mwishowe uwasababishie watu wakose appetite ya ndoa kwa kukutazama wewe utavyokuwa unazagaa na malaya mitaani wakati una mkeo mzuri na watoto nyumbani....

By the way unaoa ushajenga?....Au unataka kuwatesa wakwe wakija kukusalimia dar uwalaze sebuleni kwenye makochi na madumu ya maji uliyojaza ndani mwako?

Elimu....Elimu....Elimuuuuu.
hahahaha nimejikuta nacheka kichina, mkuu kupaniki uko vepee, stori yake ndefu afu haina mashiko,
 
Wengi huwa tunaona red flags, but huwa tunazipuuzia either kwa ujinga( kupumbazwa na mapenzi) tu au kwa kuwa ukweli ni mchungu kuumeza, so tunashindwa kukubali kuwa "HATUTAKWI". Kubaliana tu na ukweli kuwa hakutaki, afu Acha ujinga wa kuona kuwa huwezi ishi bila yeye, ni Mungu huyo? ? Sometimes maneno yetu yanazifunga mno nafsi zetu na watu fulani. Achana naye mapemaaa

Aachane naye?

Hawezi huyo
 
Labda nitoe angalizo,
Watu mnaonitupia vijembe humu hamnitendei haki kabisa,
Ndio maana nmeomba ushauri wenu pia niamue what to do,
Haya yangu sio mapya sana kwenye jamii na maisha yetu, kuna watu yamewakuta zaidi ya haya. Mimi kwa upande wangu sioni kama nimekosea sana maana sijamuoa bado..

But nashukuru kwa ushauri wenu wakuu..
Nakuelewa, unapopenda unakuwa kipofu, huoni wala huambiwi na mtu. Yote hayo umeyafanya (kuweka pp whatsapp, kurudiana nae) huku ukijua kabisa she's not into you lakini ukajipa moyo kuwa "maybe this time". Umefanya vizuri kuomba maoni ya watu humu, hakuna mwanamke atakayekupenda akakufanyia mambo ya namna hiyo. You're her last choice, a punching bag, a spare tyre etc. Once matatizo yake yakiisha, atarudi alikotoka.

Don't waste your precious time and energy, after all you still have time, at 28yrs you don't need to be desperate for a fiancee.
 
Thank you mkuu. This one is inspiring.
 
Uliomuacha alikuwa na hisia na wewe. Huyu ulie nae hana hisia wala kukerwa na lolote juu yako. Huu mtihani basi. Jibu lako na wewe utaachwa kama ulivyo muacha yule aliekupenda hakuna ndoa hapo just matter of time.
 
Ukute domo zege, anaogopa akimpoteza huyo wakati kuimbisha ni shida!
Duh,
Hilo hata halihusiani ndugu,
BTW , hayo mambo ni long way back, siku hizi hakuna mwanaume anahangaika kutongoza wanawake,
Ukiwa tu smart, msafi, kipato kiasi na ukajiheshimu wanakutongoza wenyewe,
Na pia kuna watu humu mnajitutumua as if you are so much experts kwenye mapenzi, but usiku kucha mnalia na mmeshaingia kwenye ndoa.
Sitaki kufika huko ndio maana nimejianika hapa Leo.
Nilirudiana nae huyu mpenzi wangu kwa kuwa nampenda niliamini things would be different,
Thanks nimepata ushauri mzuri kwa baadhi ya watu humu.

Nashukuru kwa comment yako pia.
 
Mkuu authentic05 unapokuja kutuuliza sisi huku kama mwanamke fulani anakufaa au hakufai unakuwa unakosea sana maana wewe ndio mwenye uhitaji wa mke na nia ya kuoa hali kadhalika pia wewe ndio unayejua sifa za mwanamke umtakaye. Sasa ukija kutuuliza sisi huku unategemea tukujibu nini?

Mpime wewe huyo mwanamke kwa sifa na vigezo ambavyo wewe umeviweka au ambavyo unatamani mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wako awe navyo. Kama ana sifa au vigezo ambavyo wewe unavitaka basi ujue huyo anakufaa. Na kama hana basi ujue huyo hakufai na unapaswa kuachana naye haraka iwezekanavyo.
 
Oa mtu ambae anaogopa kukupoteza, hapo mtakua on the same page.. Lakini kama uwe nae usiwe nae yote sawa, believe me.. Hayupo kwa ajili yako. Inabidi mtegemeane, na pia kwenye mapenzi kama bado una nafasi ya kupata mtu ambaye hakupi stress yani ukiwa nae unarelax.., why kujitaftia pressure mwenyewe? Huyo dada atakupa pressure coz unampenda sana [emoji20]
 
Asante mkuu.
 
nakushauri usiendeshwe na hisia usipofanya maamuzi magumu ya kuachana na huyo binti by this time utakuja kupata vidonda vya tumbo pale utapokuwa unaugulia vilio vya msongo wa mawazo, niulize mimi yaliyonikutaga enzi hizo. unaweza ukajiua ndugu kama huna uvumilivu na Roho Mtakatifu kama hatakuwa pamoja nawe..!!
 
Duh,
Hilo hata halihusiani ndugu,
BTW , hayo mambo ni long way back, siku hizi hakuna mwanaume anahangaika kutongoza wanawake,
Ukiwa tu smart, msafi, kipato kiasi na ukajiheshimu wanakutongoza wenyewe,
Na pia kuna watu humu mnajitutumua as if you are so much experts kwenye mapenzi, but usiku kucha mnalia na mmeshaingia kwenye ndoa.
Sitaki kufika huko ndio maana nimejianika hapa Leo.
Nilirudiana nae huyu mpenzi wangu kwa kuwa nampenda niliamini things would be different,
Thanks nimepata ushauri mzuri kwa baadhi ya watu humu.

Nashukuru kwa comment yako pia.

Mwanaume unakuja jukwaani kulia lia eti kama mtu anafaa au hafai!

Mwachie yule mwanaume wake wa kwanza, wewe hakufai.
 
Back
Top Bottom