NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,023
- 2,492
"enyi wapumbavu mtasitasita hata lini?" "wenye kusitasita nawachukia....". Hayo ni maneno ya Mungu ila sikumbuki namba za sura na aya. Huyo dada ni chaguo lako la kwanza, na wewe ni chaguo lake la mwisho. Wewe ndo mwenye matatizo. Anza na wewe kwanza kabla hujaoa. Mapenzi ya chatu na mbwa unayajua mwisho wake. Achana na huyo binti na wewe fanya kujitambua.