Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

Ukimuoa tu huyo mwanamke umekwisha. Kuna mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kuwa mchepuko life liende. Huyo ni wa kuwa mchepuko. Tambua tofauti
Asante mkuu, nilishaoa tayari. Miaka mitano iliyopita. Maisha wakati mwingine hayataki utumie akili mobu kama unataka kurusha satellite kwenda sayari ya zebaki. Game ngumu badilikia humohumo.
 
Back
Top Bottom