Huyu Mpare kapotelea Wapi?

Nakukumbuka sana Chocs nimejaa tele siunajua nipo mtwara sasa
ngoja nile raha kwanza huku nitawasalimu baadae.
na siku hizi nina raha kweli na kiwatengu wangu kwani mbaya wangu Smile ameokoka ndo maana haonekani sana
hataki tena waume za watu
Goood

Mnavuna gas au....kamatia huyo kijana asije kuponyoka,wakware wengi shostito
 
Nina muda sasa sijagumiana naye humu ndani
its like i missed her > Mrembo by Nature...where a u?
tokea nikugumie pale Kisambo market ukifanya shopng mpaka leo sijakuona tena!

Umehama mtaa?
Heaven on earth unataarifa za hyu mtu?
Nani anajua aliko?
Hahahaha mpare nilikuwa hukoo juu vunta hakuna network, hapa nimeshuka thame mjini kesho asubuhi ninarudi na futho ya tangawizi.
 
Bora umekuja my sis...maana huyu kiwatengu kila siku alikuwa ananisumbua haachi kuulizia eti ulimpa ahadi ya kupikiwa mapureee...

Hahahaha mpare nilikuwa hukoo juu vunta hakuna network, hapa nimeshuka thame mjini kesho asubuhi ninarudi na futho ya tangawizi.
 
Nilifungiwa huko milima ya upare hapa niliachiwa tu kuja kupiga simu mjini.

hahaaaa huyo aliyekupa ruhusa ya kwenda kupiga simu ASHUKURIWE lol.......

maumbea kibao yalikuwepo humu.nikawa natamanije uwepo wako umbea shurti uwe na mmbea mwenzio........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…