Ha ha ha umeniiga lolPaparasi
Ha ha ha umeniiga lol
Sijakuiga hata kwenye mtihani majibu wakati mwingine yanafana bila kujua mwenzio amejibu niniHa ha ha umeniiga lol
nimekuona umechungulia nilivyoandika kwanza!!!Sijakuiga hata kwenye mtihani majibu wakati mwingine yanafana bila kujua mwenzio amejibu nini
Nilikua sijachungulia vizuri maana jibu lako ni parasi na mimi nimejibu paparasi mara nyingine ntachungulia kwa makini saananimekuona umechungulia nilivyoandika kwanza!!!
kwani kuna ubaya jamani akikuiga mmmh mke wangu acha hizoHa ha ha umeniiga lol
sio huyo ni wuwuwuwuwuPafarasi...
halafu wewe nakustahi sana nakupa ONYO ukae mbali na mimi!SINA MUME mimi unanisikia!!!!kwani kuna ubaya jamani akikuiga mmmh mke wangu acha hizo