Huyu mlemavu ana matusi balaa

Huku kwetu kuna mlemavu wa ngozi Albino anasumbua watu sana anakuomba hela ukimjibu huna anakuambia AU NIPIGE KELELE KUA UNATAKA KUCHUKUA VIOUNGO VYANGU VYA MWILI UKAUZE! lazima utoa hela!
 

acha unyanyapaa, kwa nini usiseme "yule jamaa anayeomba pesa mitaa fulani", siku nyingine akikuporomoshea matusi ripoti kituo cha polisi, kwani anaishi mitaa yenu? tandika makofi piga marufuku kuonekana maeneo hayo!
 
Hapana bwanaa, sio wote, wengine ni ajali kama za magari etc

Hakuna,hata hao wa ajali ukiwachunguza kuna laana fulani wanaitumikia aidha alifanya katika uhai wake wakati wa kusaka pesa ama ilifanywa na kizazi chake kilichopita.
 
halafu ombaomba yeyote anayetembea barabarani hapati senti yangu hata siku moja, ni heri nimwachie anayekaa sehem anajulikana!
 
Huku kwetu kuna mlemavu wa ngozi Albino anasumbua watu sana anakuomba hela ukimjibu huna anakuambia AU NIPIGE KELELE KUA UNATAKA KUCHUKUA VIOUNGO VYANGU VYA MWILI UKAUZE! lazima utoa hela!

Mkuu,umevunja mbavu zangu mbili kwa kicheko.
 
Tofautisheni kati ya neno 'matusi' na 'matukano' ili kulinda ufasaha wa kiswahili ktk kuelzea mada hii
 
Mimi nishajiwekea sheria haea watu ni wavivu maana wapo wenzao walemavu ila eanafanya kazi.
Kuna mmoja kariakoo aliwahi omba hela akapewa 50 akamtukana aliempa, yule aliyempa akamuomba ili amuongeze alipoirudisha yule mwenye duka akaitunza mfukoni ndo ikawa basi
 
Hakuna,hata hao wa ajali ukiwachunguza kuna laana fulani wanaitumikia aidha alifanya katika uhai wake wakati wa kusaka pesa ama ilifanywa na kizazi chake kilichopita.

Muogope Mungu wako hujafa hujaumbika
 
Mi mmoja aliniomba nikampa mia tano, tena ofisini kwangu. Nilijuta mkuu. Bado kidogo anipige.
 
Mkuu unge mkata makofii kudadadeki au wanakuona laini ndo maana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…