Huyu mkuu wetu wa shule vipi?

Huyu mkuu wetu wa shule vipi?

Lakini huu mwandiko wako sio wa mwanafunzi. Wewe utakuwa mwalimu mkongwe hapo shule
 
Haya nayo mpk uje ufungue uzi jf? Umeshindwa kumface huyo H.O.S wenu?
By the way siku hizi hakuna wakuu wa shule kuna wasimamizi wa shule....Wakuu wa shule walikuwa enzi hizo bana mtu anaongoza taasisi km Mkwawa,Umbwe,Tosa,Tambaza,Minaki Pugu,Bagamoyo,Mzumbe,Mbeya Tech,Mosh Tech,Mtwara Tech huko, Utamfananisha na Mkuu wa Majani ya Chai sekondari sijui Msongola sec sijui Namanyele day ss hahahahahaaa
Mkuu umesahau kuiweka Ilboru
 
Hama shule tu mkuu mbona simpo sana?

Nenda kwingine, maisha yenyewe mafupi afu mkuu wa shule akuzingue inakuwaje wafikiri,? Ebo
Hapana asiame shule kisa ujinga wa Mkuu wa shule ,wawaone viongoz wa serikali ya wanafunz na viongoz wa vikund vya dini ili mshaur Mkuu wenu wa shule,au muandike waraka ,na akikataa muende wanafunz wote muongea naye!
 
Mkuu wenu wa shule alipaswa ashushwe kufundisha Shule ya Msingi. Maana kwa hapo Sekondari amepwaya sana.
Mm naona anaitaji kua chini ya mtu yaan yy asiwe ndo top.ila wamwache huko huko secondary. Labda awe mwalmu wa nizam au taaluma .naisi atafanya vizur sana,kingne nais hashaurik yy anajiona ndo mwsho na ndo mwanzo ,ndo maana mnalalamika huko.ila pia lazma msimame imara maana shule sio yake ni Mali ya uma.asije akaiendesha kama mji wake
 
Hamia Kenya sekondary school au Uganda secondary school. Hizo shule zinajitahid kidogo.
Huo uoga unawafundsh madogo ,wakomae hapo hapo tz sec.kwan huyo Mkuu wao kaijenga iyo shule ya tz ? Wakomae naye tuu kama wanaisi kuna KTU sicho anakifanya,kwa nn ukimbie tatzo ??
 
Bora bodi ya shule ingehusishwa katika suspension hizo,na sio suspension in such anawasuspend kabisa wanafunzi hata kwa makosa madogo tu na hakuna wa kumuuliza na hachukuliwi hatua sijui kwann!
Bas tatzo itakua walimu wanao mshaur yaan walim wa nizam na walim wengne yy akifanya fyongo wanampongeza kwa kla ktu anachokifanya ikiwepo hizo suspension za moja kwa moja ..
 
Mm naona anaitaji kua chini ya mtu yaan yy asiwe ndo top.ila wamwache huko huko secondary. Labda awe mwalmu wa nizam au taaluma .naisi atafanya vizur sana,kingne nais hashaurik yy anajiona ndo mwsho na ndo mwanzo ,ndo maana mnalalamika huko.ila pia lazma msimame imara maana shule sio yake ni Mali ya uma.asije akaiendesha kama mji wake
Ushauri mzuri!
 
Huo uoga unawafundsh madogo ,wakomae hapo hapo tz sec.kwan huyo Mkuu wao kaijenga iyo shule ya tz ? Wakomae naye tuu kama wanaisi kuna KTU sicho anakifanya,kwa nn ukimbie tatzo ??
Mwalimu mkuu wa Tanzania sec hataki kufanya kaz kwa ushirikiano na kamati ya shule. Unategemea nni hapo?
 
Bora mwalimu huyu ambaye kila siku tupo naye shuleni ata kipindi kile ugali ulivyokuwa na wadudud ni yeye alilitambua hilo na kumfukuza mpishi mkuu wa shule,tofatu na yule mwalimu mkuu wa zamani ambaye kila siku anasafiri kwenda wilayani kula bata na mademu wakali wakati wanafunzi wake hatuna chalk za kufundishiwa.
 
Nachokichukia zaidi kwa HM ni namna viranja wake wanavyofanya kazi, siku hizi muda wa mapumziko hawatusimamii tena tunywe uji kwa utulivu (japo hauna sukari) bali wanakuja kutuandika majina na kutuadhibu eti tunakunywa uji kwa kelele, mateke, fimbo hadi kuna wanafunzi wamedanja kwa adhabu...sasa break time tunyweje uji kimya isee...Walimu wengne hasa wa zamu hatuwaoni kabsa, HM kutwa na matangazo parade bakora kwapani..kwakweli shuleni si kwema tena
 
[emoji17] niamini dady,naongea ukweli mtupu!
Ila itakuwa kweli mwanangu..basi likizo njoo nyumbani mkifungua shule ntakupa hela uchukue chenga za mkaa gunia 2 tuone uyo teacher jiwe kama atavumilia moto..huyu mwalimu kichwa kibaya na roho ni mbaya
 
Sawa baba,asante!
 
Back
Top Bottom