Huyu Mkuu wa Mkoa wa ' Changanyikeni Brains ' angekuwa mpole hivi siku zote angependwa na wengi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Hivi alikuwa wapi Siku zote kuwa mpole kama ambavyo alivyo sasa? Akiendelea hivi anaweza kutusahaulisha ' maudhi ' yake yote na tukajikuta tunampenda na hata kumkabidhi Wake na Watoto zetu atulelee vizuri huku Mavazi yao mengi yakiwa yapo Bandarini ndani ya ' Makabati Chuma '.

Nawasilisha.
 
Tangu ume declare kuwa ni Mnyarandwa wa Gisenyi, mada zako zote huwa nazichukilia kama za mwanamke mwenye kiherehere. Bwana siyo wa kwako, wivu wa nini?
 
kimya kingi kina mshindo mkuu

Hakuna Xavi Hernandez bila Andreas Iniesta Mkuu. Fundi ameshahamia katika Karakana mpya Mkoani Tabora unadhani mshika ' Spana ' wake Mkuu aliyebaki katika Karakana ya Mzizima Region atakuwa na uwezo tena wa Kutengeneza Magari mengine na yakatengemaa kabisa?

Kuna wakati hata Timu ya Taifa Uingereza Robert Fowler alipokuwa hachezi basi hata Paul Scholes nae alikuwa anapwaya kabisa kiasi kwamba hadi alikuwa anaonekana si mali kitu na ' kuzomewa ' na mashabiki.

Wachezaji hawa akina Robert na Paul wakiwa karibu karibu ndiyo ' Chemistry ' yao Kiuchezaji huwa inakamilika na kuwa ' Kabambe ' kabisa.
 
Tangu ume declare kuwa ni Mnyarandwa wa Gisenyi, mada zako zote huwa nazichukilia kama za mwanamke mwenye kiherehere. Bwana siyo wa kwako, wivu wa nini?

Mbona hata Wewe pia kwa kunijibu Kwako hivi kwa ' Povu ' umeonyesha kuwa una Kiherehere tena na ukiwa unawashwawashwa kabisa. Halafu Mtoto wa Kiume kila mara kupenda kutajataja teno Bwana linaleta picha fulani hivi kwamba huenda Mwenzetu ' unanyabeliwa ' huko ' unyabeni ' Kwako hivyo unadhani Wanaume wote ' tunanyabenyika ' kama Wewe.
 
Hivi alikuwa wapi Siku zote kuwa mpole kama ambavyo alivyo sasa? Akiendelea hivi anaweza kutusahaulisha ' maudhi ' yake yote na tukajikuta tunampenda na hata kumkabidhi Wake na Watoto zetu atulelee vizuri huku Mavazi yao mengi yakiwa yapo Bandarini ndani ya ' Makabati Chuma '.

Nawasilisha.

Genta, paka haokoki kula panya! Subiri kidogo.
 
Wala hajatulia, siku hizi yuko ki-international zaidi. Sibiri makabati zaidi Bandarini!
 
Back
Top Bottom