Huyu mkuu wa mkoa ameingia 18 zangu

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Habar wana jf

Bila kupoteza muda, nimewahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mkuu wa mkoa x kipindi cha serikali ya awamu ya NNE ya JK.

Huyu mkuu amewahi kumuamrisha mkurugenzi wa Halmashauri ambayo nilikuwa naifanyia kazi kuwa nimekula fedha za mradi fulani ndani ya Halmashauri hiyo,
Nilisimamishwa kazi na maslahi yangu pia yalisimamishwa, kupisha uchunguzi, mwaka mzima nachunguzwa bila majibu sahihi, na ukumbuke mwaka mzima huo sipati mshahara wala posho, familia yangu ikatabika ile mbaya, watoto wakashindwa kusoma

Baada ya mwaka huo kuisha, wakaguzi wakaja na majibu kwamba sijakula hata senti moja ya mradi

Mwaka 2016 nikarudishwa kazini ila nikaomba kuhamishwa kwenda Halmashauri nyingine mkoa mwingine

Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya yaliyofanywa na JPM, huyo mkuu wa mkoa kapigwa chini na Halmashauri niliyopo ndo anayokaa anafanya business zake

Sasa kuna zabuni imetolewa hapa Halmashauri na kuna maombi mbalimbali yanaletwa kwa ajili ya mradi huo

Huyu ambaye alikuwa mkuu wa mkoa naye ameomba mradi lakini hana sifa ya kupewa mradi, hakidhi vigezo vya kupewa mradi ila anapigiwa pande na mwenyekiti wa Halmashauri ananishawishi tumpe mradi. Cha kushangaza na yeye bila aibu ananipigia sim tumpe kipao mbele

Sasa nakaa nawaza hivi huyu mkuu anajua kuwa amewahi kuniachisha kazi kwa tuhuma ambazo si za kweli ,au amesahau au hanijui?
Mbona ananipigia simu na kuongea na mimi friendly sana?

Sasa najiuliza, nimpinge asipewe mradi maana hana sifa, au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia, au nifanyeje wakuu
 
Habar wana jf

Bila kupoteza muda, nimewahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mkuu wa mkoa x kipindi cha serikali ya awamu ya NNE ya Jk,
Huyu mkuu amewahi kumuamrisha mkurugenzi wa Halmashauri ambayo nilikuwa naifanyia kazi kuwa nimekula fedha za mradi fulani ndani ya Halmashauri hiyo,
Nilisimamishwa kazi na maslahi yangu pia yalisimamishwa,kupisha uchunguzi,mwaka mzima nachunguzwa bila majibu sahihi,na ukumbuke mwaka mzima huo sipati mshahara wala posho,familia yangu ikatabika ile mbaya,watoto wakashindwa kusoma

Baada ya mwaka huo kuisha ,wakaguzi wakaja na majibu kwamba sijakula hata senti moja ya mradi
Mwaka 2016 nikarudishwa kazini ila nikaomba kuhamishwa kwenda Halmashauri nyingine mkoa mwingine

Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya yaliyofanywa na JPM ,huyo mkuu wa mkoa kapigwa chini na Halmashauri niliyopo ndo anayokaa anafanya business zake

Sasa kuna zabuni imetolewa hapa Halmashauri, na kuna maombi mbalimbali yanaletwa kwa ajili ya mradi huo

Huyu ambaye alikuwa mkuu wa mkoa naye ameomba mradi lakini hana sifa ya kupewa mradi,hakidhi vigezo vya kupewa mradi ila anapigiwa pande na mwenyekiti wa Halmashauri ananishawishi tumpe mradi.
Cha kushangaza na yeye bila aibu ananipigia sim tumpe kipao mbele

Sasa nakaa nawaza hivi huyu mkuu anajua kuwa amewahi kuniachisha kazi kwa tuhuma ambazo si za kweli ,au amesahau au hanijui?
Mbona ananipigia sim na kuongea na mimi friendly sana?

Sasa najiuliza,nimpinge asipewe mradi maana hana sifa ,au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia,au nifanyeje wakuu
Watu kama nyie ndio mnaharibu kada ya ununuzi na ugavi.
Hivi mpaka sasa bado mnamawazo ya kupeana miradi na sio kukidhi vigezo.
Nimesikitishwa sana na bandiko lako. Sijajua upo kada gani.
 
Habar wana jf

Bila kupoteza muda, nimewahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mkuu wa mkoa x kipindi cha serikali ya awamu ya NNE ya JK.

Huyu mkuu amewahi kumuamrisha mkurugenzi wa Halmashauri ambayo nilikuwa naifanyia kazi kuwa nimekula fedha za mradi fulani ndani ya Halmashauri hiyo,
Nilisimamishwa kazi na maslahi yangu pia yalisimamishwa, kupisha uchunguzi, mwaka mzima nachunguzwa bila majibu sahihi, na ukumbuke mwaka mzima huo sipati mshahara wala posho, familia yangu ikatabika ile mbaya, watoto wakashindwa kusoma

Baada ya mwaka huo kuisha, wakaguzi wakaja na majibu kwamba sijakula hata senti moja ya mradi

Mwaka 2016 nikarudishwa kazini ila nikaomba kuhamishwa kwenda Halmashauri nyingine mkoa mwingine

Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya yaliyofanywa na JPM, huyo mkuu wa mkoa kapigwa chini na Halmashauri niliyopo ndo anayokaa anafanya business zake

Sasa kuna zabuni imetolewa hapa Halmashauri na kuna maombi mbalimbali yanaletwa kwa ajili ya mradi huo

Huyu ambaye alikuwa mkuu wa mkoa naye ameomba mradi lakini hana sifa ya kupewa mradi, hakidhi vigezo vya kupewa mradi ila anapigiwa pande na mwenyekiti wa Halmashauri ananishawishi tumpe mradi. Cha kushangaza na yeye bila aibu ananipigia sim tumpe kipao mbele

Sasa nakaa nawaza hivi huyu mkuu anajua kuwa amewahi kuniachisha kazi kwa tuhuma ambazo si za kweli ,au amesahau au hanijui?
Mbona ananipigia simu na kuongea na mimi friendly sana?

Sasa najiuliza, nimpinge asipewe mradi maana hana sifa, au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia, au nifanyeje wakuu

Kama una mawazo ya kumpa tu wakati wewe mwenyewe umesema hakidhi vigezo, nina imani kabisa hata yeye kukusimamisha kazi kule alikuwa sahihi sema uliweza tu kuhonga ukaonekana huna hatia.

Ni aibu na hasara kubwa kwa sisi wananchi kuwa na watu wa aina yenu mkilinda kodi zetu.
 
Watu kama nyie ndio mnaharibu kada ya ununuzi na ugavi.
Hivi mpaka sasa bado mnamawazo ya kupeana miradi na sio kukidhi vigezo.
Nimesikitishwa sana na bandiko lako. Sijajua upo kada gani.
Mkuu wa mkoa X anaomba kazi x mkoa x.
 
Fuata haki. Mpeni kandarasi mzabuni anayestahili. Yeye akiwa kwenye kiti hakucheka na kima (wewe) sasa na wewe usicheke na kima (yeye). Ukicheka na nyani utayavuna mabua. Kumpa kwake zabuni, wazabuni wengine wakienda PPAA kukata rufaa, ukaonekana ulitoa zabuni kwa upendeleo, utarudi tena matatizoni. Atakuwa ameku cost kwa mara ya pili.
 
Kumbe kazi zinatolewa kwa kupigiana simu? Sasa huwa mnatangaza kazi za nini kama kazi zinatolewa on call?
 
Umeshasema hana vigezo
Unampa ili nini?
Ni kweli hana vigezo licha ya ushawishi wa mwenyekiti,lakini kinachoniuma ,huyu mheshimiwa amewahi kusababisha maisha yangu yakayumba,najiuliza hivi ananifaham kweli au hanijui,je nimwambie pamoja kuwa huna sifa hatukupi mradi na nimkumbushe alichowahi kunifanyia,na nimkumbushe kuwa hizo mbinu unazotaka kutumia kupata mradi si sahihi,dilemma, inaniuma sana nikimkumbuka huyu jamaa
 
Habar wana jf

Bila kupoteza muda, nimewahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mkuu wa mkoa x kipindi cha serikali ya awamu ya NNE ya JK.

Huyu mkuu amewahi kumuamrisha mkurugenzi wa Halmashauri ambayo nilikuwa naifanyia kazi kuwa nimekula fedha za mradi fulani ndani ya Halmashauri hiyo,
Nilisimamishwa kazi na maslahi yangu pia yalisimamishwa, kupisha uchunguzi, mwaka mzima nachunguzwa bila majibu sahihi, na ukumbuke mwaka mzima huo sipati mshahara wala posho, familia yangu ikatabika ile mbaya, watoto wakashindwa kusoma

Baada ya mwaka huo kuisha, wakaguzi wakaja na majibu kwamba sijakula hata senti moja ya mradi

Mwaka 2016 nikarudishwa kazini ila nikaomba kuhamishwa kwenda Halmashauri nyingine mkoa mwingine

Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya yaliyofanywa na JPM, huyo mkuu wa mkoa kapigwa chini na Halmashauri niliyopo ndo anayokaa anafanya business zake

Sasa kuna zabuni imetolewa hapa Halmashauri na kuna maombi mbalimbali yanaletwa kwa ajili ya mradi huo

Huyu ambaye alikuwa mkuu wa mkoa naye ameomba mradi lakini hana sifa ya kupewa mradi, hakidhi vigezo vya kupewa mradi ila anapigiwa pande na mwenyekiti wa Halmashauri ananishawishi tumpe mradi. Cha kushangaza na yeye bila aibu ananipigia sim tumpe kipao mbele

Sasa nakaa nawaza hivi huyu mkuu anajua kuwa amewahi kuniachisha kazi kwa tuhuma ambazo si za kweli ,au amesahau au hanijui?
Mbona ananipigia simu na kuongea na mimi friendly sana?

Sasa najiuliza, nimpinge asipewe mradi maana hana sifa, au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia, au nifanyeje wakuu
alaa, kumbe miradi mnapeanaga kienyeji hivi?

asante kwa kutujulisha ndugu.
 
Ccm ndivvyo mlivyo
 
usilipe ubaya kwa ubaya,ila pia usitumie madaraka uliyo nayo kutuangamiza watanzania,kama ana vigezo vya kupata kndarasi hiyo mpe,kama hana usimpe
 
Back
Top Bottom