Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,858
Mpaka hapo mmeshafahamika majina yenu, kumbe ndio mnatumia vibaya hivi ofisi za uma??
Uma = umma, uko shule ulienda kusoma ujinga?
Mpaka hapo mmeshafahamika majina yenu, kumbe ndio mnatumia vibaya hivi ofisi za uma??
SIMPE KAZI KWA VILE HANA VICEZO ATAKUHARIBIA KAZI .HII NI KUTENDA HAKI SI KULIPIZA KISASI? MPE ANAYESTAHILI NA UTAENDELEA NA KAZI ZAKO MPAKA WAKATI WA K7STAAFUHabar wana jf
Bila kupoteza muda, nimewahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mkuu wa mkoa x kipindi cha serikali ya awamu ya NNE ya JK.
Huyu mkuu amewahi kumuamrisha mkurugenzi wa Halmashauri ambayo nilikuwa naifanyia kazi kuwa nimekula fedha za mradi fulani ndani ya Halmashauri hiyo,
Nilisimamishwa kazi na maslahi yangu pia yalisimamishwa, kupisha uchunguzi, mwaka mzima nachunguzwa bila majibu sahihi, na ukumbuke mwaka mzima huo sipati mshahara wala posho, familia yangu ikatabika ile mbaya, watoto wakashindwa kusoma
Baada ya mwaka huo kuisha, wakaguzi wakaja na majibu kwamba sijakula hata senti moja ya mradi
Mwaka 2016 nikarudishwa kazini ila nikaomba kuhamishwa kwenda Halmashauri nyingine mkoa mwingine
Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya yaliyofanywa na JPM, huyo mkuu wa mkoa kapigwa chini na Halmashauri niliyopo ndo anayokaa anafanya business zake
Sasa kuna zabuni imetolewa hapa Halmashauri na kuna maombi mbalimbali yanaletwa kwa ajili ya mradi huo
Huyu ambaye alikuwa mkuu wa mkoa naye ameomba mradi lakini hana sifa ya kupewa mradi, hakidhi vigezo vya kupewa mradi ila anapigiwa pande na mwenyekiti wa Halmashauri ananishawishi tumpe mradi. Cha kushangaza na yeye bila aibu ananipigia sim tumpe kipao mbele
Sasa nakaa nawaza hivi huyu mkuu anajua kuwa amewahi kuniachisha kazi kwa tuhuma ambazo si za kweli ,au amesahau au hanijui?
Mbona ananipigia simu na kuongea na mimi friendly sana?
Sasa najiuliza, nimpinge asipewe mradi maana hana sifa, au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia, au nifanyeje wakuu
Wee! Achana na hizo za kumpa eti kwa kuwa tu mkiti anakuomba. Unapokubali ndo mwanzo pia wa mkiti kuamini naye anaendesha serikali. Pamoja na hayo usihangaike na mambo yake ya nyuma. huwezi kujua maana huko CCM kuna vituko. Leo kaachwa kesho akibebwa tena itakuweje kwako?Habar wana jf
Bila kupoteza muda, nimewahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mkuu wa mkoa x kipindi cha serikali ya awamu ya NNE ya JK.
Huyu mkuu amewahi kumuamrisha mkurugenzi wa Halmashauri ambayo nilikuwa naifanyia kazi kuwa nimekula fedha za mradi fulani ndani ya Halmashauri hiyo,
Nilisimamishwa kazi na maslahi yangu pia yalisimamishwa, kupisha uchunguzi, mwaka mzima nachunguzwa bila majibu sahihi, na ukumbuke mwaka mzima huo sipati mshahara wala posho, familia yangu ikatabika ile mbaya, watoto wakashindwa kusoma
Baada ya mwaka huo kuisha, wakaguzi wakaja na majibu kwamba sijakula hata senti moja ya mradi
Mwaka 2016 nikarudishwa kazini ila nikaomba kuhamishwa kwenda Halmashauri nyingine mkoa mwingine
Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya yaliyofanywa na JPM, huyo mkuu wa mkoa kapigwa chini na Halmashauri niliyopo ndo anayokaa anafanya business zake
Sasa kuna zabuni imetolewa hapa Halmashauri na kuna maombi mbalimbali yanaletwa kwa ajili ya mradi huo
Huyu ambaye alikuwa mkuu wa mkoa naye ameomba mradi lakini hana sifa ya kupewa mradi, hakidhi vigezo vya kupewa mradi ila anapigiwa pande na mwenyekiti wa Halmashauri ananishawishi tumpe mradi. Cha kushangaza na yeye bila aibu ananipigia sim tumpe kipao mbele
Sasa nakaa nawaza hivi huyu mkuu anajua kuwa amewahi kuniachisha kazi kwa tuhuma ambazo si za kweli ,au amesahau au hanijui?
Mbona ananipigia simu na kuongea na mimi friendly sana?
Sasa najiuliza, nimpinge asipewe mradi maana hana sifa, au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia, au nifanyeje wakuu
Humuelewi kabisa moyo alinao mtoa mada.Huyu mtoa mada hana akili akamatwe mara1, mtu hana vigezo unauliza tena apewe/asipewe?
Neno zuri sana.Hakuna kisasi kizuri kama cha kumlipa wema aliyekutendea ubaya. Angekuwa na vigezo ningekushauri usiwe kikwazo cha yeye kupewa tenda.
Shukrani brother kwa kupita kwenye njia moja kimtazamo.Nilitaka kuandika hivyo hivyo, thanks brother for the nice advice
Dah.....😡Habar wana jf
Bila kupoteza muda, nimewahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mkuu wa mkoa x kipindi cha serikali ya awamu ya NNE ya JK.
Huyu mkuu amewahi kumuamrisha mkurugenzi wa Halmashauri ambayo nilikuwa naifanyia kazi kuwa nimekula fedha za mradi fulani ndani ya Halmashauri hiyo,
Nilisimamishwa kazi na maslahi yangu pia yalisimamishwa, kupisha uchunguzi, mwaka mzima nachunguzwa bila majibu sahihi, na ukumbuke mwaka mzima huo sipati mshahara wala posho, familia yangu ikatabika ile mbaya, watoto wakashindwa kusoma
Baada ya mwaka huo kuisha, wakaguzi wakaja na majibu kwamba sijakula hata senti moja ya mradi
Mwaka 2016 nikarudishwa kazini ila nikaomba kuhamishwa kwenda Halmashauri nyingine mkoa mwingine
Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya yaliyofanywa na JPM, huyo mkuu wa mkoa kapigwa chini na Halmashauri niliyopo ndo anayokaa anafanya business zake
Sasa kuna zabuni imetolewa hapa Halmashauri na kuna maombi mbalimbali yanaletwa kwa ajili ya mradi huo
Huyu ambaye alikuwa mkuu wa mkoa naye ameomba mradi lakini hana sifa ya kupewa mradi, hakidhi vigezo vya kupewa mradi ila anapigiwa pande na mwenyekiti wa Halmashauri ananishawishi tumpe mradi. Cha kushangaza na yeye bila aibu ananipigia sim tumpe kipao mbele
Sasa nakaa nawaza hivi huyu mkuu anajua kuwa amewahi kuniachisha kazi kwa tuhuma ambazo si za kweli ,au amesahau au hanijui?
Mbona ananipigia simu na kuongea na mimi friendly sana?
Sasa najiuliza, nimpinge asipewe mradi maana hana sifa, au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia, au nifanyeje wakuu
Safari utaenda kulima, huyu ni shetani wako amekuja kumaliza kazi aliyoishindwa awamu ileAsante mkuu
akili za wafanyakazi wa serekalini ndio ziko hivi roho mbaya mbaya tu,yani wakishaajiriwa huwa wanaona ofisi ni za baba zao huwa hawajuagi kuwa kuna mwisho wa haya yote haya!Habar wana jf