Huyu mkuu wa mkoa ameingia 18 zangu

Huyu mkuu wa mkoa ameingia 18 zangu

Sasa najiuliza, nimpinge asipewe mradi maana hana sifa, au tumpe tu halafu nimkumbushe hicho kisa ambacho amewahi kunifanyia, au nifanyeje wakuu
Wewe ni mpumbavu
Kazi za siri za serikali haziletwi kwenye social media,inaonekana ni kweli ulikula pesa ila Mungu tu alikua upande wako
Huyo RC,hana vigezo,kama kweli ungekuwa ni muadilifu ungemkata kichwa zamani,wala usingeporeza muda wako kuja huku kulialia,we na mwenyekiti wako sio waadilifu kabisa
 
Wewe ni mjinga,mpuuzi na huna maana.Kwa andiko lako hili ,sijui hata kwa nini ulirudishwa kazini uliposimamishwa mara ya kwanza. HUFAI.
 
Back
Top Bottom