Huyu mke wangu tatizo

Hvi wanawake wa dizaini hyo mabogus na ,mambwiga huwa mnawaokota mitaa ipi kwa hapo dar,shda wanawake wa sku hzi akili zipo makalioni,sijui hata wewe ukoje maana kwa haraka haraka unafanan na mkeo
 
Huyo sio mke ila umemuondolea tu nuksi kuwa hakuolewa, ametimiza dhamira yake hiyo. Angekuwa mke kwanza angejali mazingira yenu na angekujali kwahiyo angeondoa kbs maringira yanayoweza kupelekea wewe kuchepuka.
Chakufanya, ktk marafiki wanaokuja home chagua mmoja saafi tia mistari anza kujimegea taratibu hata huyo mke akijua aamshe tu ubaki na chombo ndani aone kama yeye atapata nafasi ya kuja kusalimia.
 
...mkeo anaamka kwenda kazini,wewe umelala tu....inaonesha jinsi gani mkeo anavyokulea kama mtoto,kaa utulie na uvumilie usije ukafukuzwa na mkeo
 
...mkeo anaamka kwenda kazini,wewe umelala tu....inaonesha jinsi gani mkeo anavyokulea kama mtoto,kaa utulie na uvumilie usije ukafukuzwa na mkeo
Yeye kazini uwa anawai sana asubuhi saa 12 mimi kazini naenda saa 2 asubuhi siyo kwamba sina kazi nakaa nyumbani
 
Wadau wameshauri vizuri tu huko juu, ebu mtafune huyo shemeji yako, labda mkeo atapata akili kidogo

Let's meet at the top, cheers 🍻
Sasa hapa unafanya aje
 
Mama yake alishafariki nilimuambia mama yake mdogo na dada yake ila ata naona kama aikusaidia chochote
Yaani usipokuwa na akili ya ziada utapata shida sana, bora umwambie mgeni na mkeo awepo
 
Wewe na mkeo hamjielewi kabisa angekuwa rafiki yangu anatoka na kiboxer mbona kesho yake ataaga, ila wasukuma kama hawajielewi hivi, ni shida sana, mnisamehe sana wasukuma ila nimekaa nao karibu nawajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…