Huyu mke wangu tatizo

Mmmh!! Si hapohapo aongeze kupanga Chumba #2 awaweke maSwahibat !!
Tumeruhusiwa wanne!! ekomu1
 
Tafuta nyumba ndogo mwache mkeo ajivinjari na marafiki zake, ipo siku akili itamrudia tu. Bado hajakua huyo.
 
Chumba kimoja mnalala wote na Shemeji au sio
 
Mke umemtoa gheto afu unakasirika akiendeleza maisha hayo? C'mon, sio jukumu lako kumbadili mtu mzima. Kupanga ni kuchagua.
 
Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilijua tu wasukuma wana katabia hako..!! pole sana kula huyo rafiki yake nina uhakika 100% hakatai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…