Nilimuambia akasema marafiki wake wanashida sana na yeye awezi kuwafukuza ni watu wazima wenyewe kwani awaoniPole Sana,hiyo ni changamoto inatakiwa uitatue maana wewe ni kichwa Cha familia,ongea na mkeo kwamba hao rafiki zake wasije kwa sababu ninyi mnakaa chumba kimoja ingekuwa una nyumba kubwa hapo sawa.
Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini