Huyu mkaka jamani lol

Huyu mkaka jamani lol

Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.

I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.

Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

Hivi Dar Es Salaam si ni mkoa au majuu?
 
mamii...si ana mtu wake? mezea, urafiki ni bora zaidi maana utapata nafasi ya kumfahamu kiundani zaidi huenda kuliko hata g.friend wake kama unavyodai
 
du!!,hii dunia inapoenda kwa kwel .kumbe na nyie huwa mnaumia mnashindwa kusema ehh??,
 
dada umbwa anaruma ana unajua anaruma we wataka weka kidole ili..useme liumbwa linu.lalumaa ss...akili kumkichwaa usije ukajuta ukalia kwa ujinga wako..six pat izo akitoka nje anaonwa na wangapi......tafakat chukus atua yaan kwanza uyo hana ata feels kwako mpk anakuambia leo.amina..kesho jane ww bado wataka au unataka niamn mapenz.upof na wanawake mwalimu wao.kipof

matatizo ya screen touch!??
 
We bwana simu yako ina keyboard za wapi?
 
Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.

I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.

Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

kwahiyo hivyo vitu ndio wewe umeona anakuamini,hapo anakuona f**a ndio maana anakutuma tuma kama boya!
Sasa fanya hivi mvulie pichu uone kazi,tatizo lenu mnamegwa mpaka na vibabu!
 
Back
Top Bottom