Huyu mkaka jamani lol

Nimeliona akiwa amevaa body tight

Uliposema tu huwa unamsadia issue za TRA nikajua kilicho kufanya umpende ni baada ya kuona bank statement yake ilivyo nona!

Haya siju six pack ni nyongeza tu ahahahaha
 
Hahahahahaha lol!!!! If it does not fit you must acquit...Tangu partner wangu Karucee PIC aanzishe ule uzi na kumuweka BAK basi imeshakuwa shida lol!!!!

wajitetea tuu ila unahusika hapa looh heheheheeee
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol!!!! If it does not fit you must acquit...Tangu partner wangu Karucee PIC aanzishe ule uzi na kumuweka BAK basi imeshakuwa shida lol!!!!

Hivi hiyo PIC ni nini? Partner-in-crime? Yaani Karucee ni PIC wako:smile-big:?

Mdada anatishaaaaaaaaaaaaa. Hongera BAK.

Last edited by a moderator:
LoL!!! hunitakii mema weye!!!! umeshajipa hongera na wewe maana katika PICs waliotajwa nawe ulikuwemo...Ni aje bana? hahahahah lol!!!

Hivi hiyo PIC ni nini? Partner-in-crime? Yaani Karucee ni PIC wako:smile-big:?

Mdada anatishaaaaaaaaaaaaa. Hongera BAK.

[/FONT][/SIZE]
 
Last edited by a moderator:

Six pack..kwani anakujaga kifua wazi?
 
kama umeamua kuutendea haki moyo wako, do that ila hapo pa kuacha tabia yake sahau!!! Kama ni tabia yake hawezi kuiacha mpokee alivyo au bakini kaka na dada tu

people change ww usikalili kila anepanda daladala maskini
 
ww tupa ndoano tu kwani kitu gani bwanah ,u never kow
 
Hahahah! Monica u shuld've told me buddy, why exposing here..??
Nway, msg recvd.. 2mrw i travel, wen return gonna dscus!
 
jamani mtu mwenyewe malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…