Huyu member AshaDii yupo wapi?

Ashadii pole Kwa kuachwa na mchumba wako jamani mapenzi Yana run dunia🏃🏃🏃
 
Asha Abinala Daudi
 
Nasikia telesis kwamba bwana ake ametoka nje ya mahusiano yani amechit na rafk wa karb na asha dii zama twitter ujioneee
 
Ila si kuna kipindi alikua ameajiriwa kabisa JF..kuachwa sio ishu...atapata mwingine tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…