Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,405
- 104,815
Pole sanaMwili umesisimka. Namuogopa huyo mdudu. Nishamuona kwangu kama mara 2. Nashukuru Mungu hajawahi kuning'ata ila siwezi kulala mpaka nihakikishe amekufa
Jongoo.Haahaa wanawake wengi ndo mko hivyo, sema me ndio nawapenda wanawake wa hivyo, yaani pale mwanamke anaposisimka eti sababu kaona mende, aah me hoi kabisa!!![]()
![]()
![]()
Asante mkuu.Pole sana
Nasikia kule mkiani ndiko anatumia kukumia sio!Yah nahisi ni kweli, kama umekaa umetulia ivi hakuumi ata kama anatembea kwenye mwili hata kama utamuondosha kwa mkono na akawa bado yupo katika mwili haumi, huyu nahisi anauma pale unapombonyeza kwa nguvu kiasi cha kuhatarisha uhai wake ndio ana respond. Nilishukuru mana nlikuwa na waza sijui kama ningekufa siku hio 😀 😀 😀
Afadhali nmekuona tena mkuu!Kuna mwenzao mmoja aliwahi kuuwa kicheche.... Basi akakuja humu jf na boonge la heading eti "Wana jamvi, leo nimepambana kiume na mpambano haukua wa nchi hii" alafu mwisho akaweka na picha ya marehem....![]()
![]()
![]()
Hawachelewi kuja kukuambia kwamba uyo mdudu akikuuma kupona hadi ujiunge darasa la forex.Habari wakuu,
Hapa nnapo ishi nimekutana na hawa wadudu mmoja ni mkubwa balaa na mwingine ni mdogo kama huyu, sasa nauliza hawa wadudu wanaitwaje je wanauma na akikuuma dawa yake ni nini na njia ya kuwazuia ni ipi.Nimewakuta wawili wapo karibu na shimo la maji machafu wanakula mende.
View attachment 696000
Itapendeza kama hiyo afadhali niya kheri comrade.... maana tangu nimerudi humu humu jf naona mambo yanebadilika sana kwa members kujadili personal life'sAfadhali nmekuona tena mkuu!
Hahahaa...ya kheri kweli kabisa mkuu!! Kuna vitu nilivimiss humu jfItapendeza kama hiyo afadhali niya kheri comrade.... maana tangu nimerudi humu humu jf naona mambo yanebadilika sana kwa members kujadili personal life's
Kuna mwenzao mmoja aliwahi kuuwa kicheche.... Basi akakuja humu jf na boonge la heading eti "Wana jamvi, leo nimepambana kiume na mpambano haukua wa nchi hii" alafu mwisho akaweka na picha ya marehem....![]()
![]()
![]()
huyo atakuwa wa dar