Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,036
- 110,553
Kama ni Dar, ungemuita mwanaume akusaidie hakika angegoma kuja wallah....[emoji12] [emoji12]Mwili umesisimka. Namuogopa huyo mdudu. Nishamuona kwangu kama mara 2. Nashukuru Mungu hajawahi kuning'ata ila siwezi kulala mpaka nihakikishe amekufa