Huyu mdudu anaitwaje?

Huyu mdudu anaitwaje?

Haahaa wanawake wengi ndo mko hivyo, sema me ndio nawapenda wanawake wa hivyo, yaani pale mwanamke anaposisimka eti sababu kaona mende, aah me hoi kabisa!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani nikiona mende uwiii. Bora panya sio mende wala jongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Labda ningekuja kulala kwako. Kwangu tungelalaje kuna mdudu ndani?
Kwangu hao wadudu wapo wengi sana comrade, sasa ukiongeza na huyu mdudu mmoja mwenye namfuga ndio ingekua tafran wallah.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
centipede huyoo, umenikumbusha mbali sana kipindi hicho napiga mabanda tu kwenye biology pale kibaha boys aseee!!!
 
Kwangu hao wadudu wapo wengi sana comrade, sasa ukiongeza na huyu mdudu mmoja mwenye namfuga ndio ingekua tafran wallah.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo unaemfuga ndo mdudu hatari zaidi
 
Huyu ninae mfuga yupo very friendly and polite, yaani my mdudu is very humble like you can't believe haki....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Duu 😀 😀 😀 . Naona huko mnapoelekea mada inazidi ku change.
 
Hatuelekei pasipo julikana Comrade, hapa tunamjadili mdudu ambae mleta uzi wa Dar amesema amemuua na kuna mwingine ni mkubwa sana hadi anaogopa kulala ndani leo...[emoji12] [emoji12]
Sasa mkuu, hao wadudu huku mikoani sisi wanatuuma kila siku na hatuleti thread humu, ujue hawa wanaume wa Dar ni wahovyo sana aiseeeee......
Kuna mmoja alionaga panya kaingia ndani kwake, eti akagoma kulala na mwisho akaleta uzi humu kwamba atamuuwaje huyo panya eti kwasababu anamuogopa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
😀 😀 😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli ni upi mkuu!!!em ingia Google msome ni wa aina gani halafu uje tena hapa kubisha.ndiyo sio wote ni hatari kwa maisha ya binadam ila kuna ambao ni hatari mno.
Haijwai kuripotiwa mtu kufa baada ya kung'atwa na tandu
 
Back
Top Bottom