Huyu mdudu anaitwaje kikwenu?

Habari wakuu!!

Ni wiki sasa nipo mji mkuu wa Tanzania(Dodoma) katika harakati zangu za maisha na kutafuta riqki katika mkoa huu ulioshehedi ardhi kame.

Juzi kati hapa nikaona nimtembelee rafiki yangu wa siku nyingi ambaye yupo chuo kikuu cha Dodoma pale college of education(COED).

Katika matembezi yetu ya kuelekea Ujasi kuna ka kichaka kidogo ah nikaona wadudu waajabu kidogo na rafiki yangu huyu alishindwa kuwatambua..

Je huyu mdudu anaitwaje?

Ana sifa gan?

Kikwenu mnamuitaje?

#Tusichokijua#

View attachment 2501455View attachment 2501459View attachment 2501461View attachment 2501463View attachment 2501465
Sasa mbona umewaua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom