Kigilagilagatirumo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 503
- 734
- Thread starter
- #101
Very sure.... ni ku drop tu
Very sure.... ni ku drop tu
Sijasoma seminary mkuu,ni mapenzi tu ila saiv nmeamua ku give upMkuu umesoma seminary au vp..mbona hujuagi alama za nyakati. Hamna mwanamke hapo mdangaji huyo sema anakuektia tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli aisee, hii kiumbe ni nomaUkioa huyo kiumbe, utajutaa!
Sasa huelewi nini !?hebu behave kama mtu mzima!!Kivip Mkuu cjakuelewa..
Bora umeamua maamuzi ya kuushinda moyo hongera sanaSijasoma seminary mkuu,ni mapenzi tu ila saiv nmeamua ku give up
Nmekuelewa boss👏👏Sasa huelewi nini !?hebu behave kama mtu mzima!!
Kama ulichoandika ni kweli na bado hujashtuka utakuwa mtu wa ajabu mno..
Ukiambiwa uachane nae hapo sipo hutatuelewa!!
Ukikamilisha Process za mahari niite nami sitasita kuwa mshenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank u mkuu
VizurMkuu nimeghairi
nshanyooka babaa, staki tenaaVijana unakwama wapi! Dalili ya mvua n mawingu, we unangangania mwamamke wa dar, atakunyoosha ,
Nmesoma story yako nmeielewa vizuri. Kiukwel najua uko kwenye situation ngumu. Najua wew bado unampenda lakin moyo ndo shida. Ilo ndo tatizo letu moja wanaume uwa tukipenda tunapenda kwel. Ila nakushauri force moyo wako hutoke kwa uyo dada. Laa sivyo Kuna mawili yatakupata either atakuwa mke mzuri au atakuwa mbaya na atakuharibia focus ya maisha ako bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna mwanamke apo
Namsitishia huduma kimasihara hata amini... mjinga sanaMkuu achana na mbwiga huyo atakuchomesha wese! Mwambie apite hivi... anakupangia mtaji we umemzaaa?? Mwambie hizo conditions zaka kama donor countries akuache!
Over mzee, siendelei tenaa
Hata kama boss, this is too much...Na bado utamuoa tu,akili za mapenzi huwa ni ovyo Sana.