Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Huo ni moto kimbia kabisa, yani anashauri uuze nyumba kweli, kimbia huyo siyo mwanamke ana mtu wake yupo huko sema muda haujafika waonane
Unajua kuna baadhi ya wanawake ni mashetani?,huyo anaweza akakushauri uuze hio nyumba akatafuna hio hela makusudi akiona umeyumba tuu anapita hivi bila soni yyoyote,yaan kimbiaaaaa kabisa hapo, mm nashukuru Mungu kuna ngema ilikuwa kama hiyo yako ilikuwa imejitega mahali inaangukie lkn nashukuru Mungu ameniokoa man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulimkuta bikra na ww ndiye umemuondoa hyo bikra...keep playing that game,usimuache uyo ni wako, ila kama ulimkuta utepe ushakatwa don't play that dangerous game unless you're willing to loose.
 
Usisahau Samson na minguvu yake ya kuua Simba ila kwa delila hakufua dafu,jiangalie sana, unaweza jikuta umeuza nyumba na kazi umeacha, akina delila sio watu hao.

Bahatika ukutane na kina Rahel, lakini sio akina delila, utajuta maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna baadhi ya wanawake ni mashetani? Huyo anaweza akakushauri uuze hio nyumba akatafuna hio hela makusudi akiona umeyumba tuu anapita hivi bila soni yyoyote, yaan kimbiaaaaa kabisa hapo,mm nashukuru Mungu kuna ngema ilikuwa kama hiyo yako ilikuwa imejitega mahali inaangukie lkn nashukuru Mungu ameniokoa man.

Sent using Jamii Forums mobile app
Right kabisa, ni kusepa tu na kukatisha huduma
 
....kama ulimkuta bikra na ww ndiye umemuondoa hyo bikra...keep playing that game,usimuache uyo ni wako...

Ila kama ulimkuta utepe ushakatwa don't play that dangerous game unless you're willing to loose..
Bikira anaitoa wapi, huyo ni kumuachia tu
 
SOCIETY'S FOCUS,
Focus na mambo yako, hutakuja kujuta. Ukimsikiliza anachotaka jiandae kujuta. Mpaka hapo huyo mwanamke atakupelekesha sana mkiwa kwenye ndoa na kutekeleza vipaumbele vyake badala ya vyako.
 
Focus na mambo yako, hutakuja kujuta. Ukimsikiliza anachotaka jiandae kujuta. Mpaka hapo huyo mwanamke atakupelekesha sana mkiwa kwenye ndoa na kutekeleza vipaumbele vyake badala ya vyako.
Mpuuzi sana, ndio kashanikosa tayari
 
Kwa kifupi umeingia cha kike, alafu hujapata hata time ya kumfahamu bidada na kutokana na maelezo yako toka mwanzo huyo mwanamke anaonekana ni mbabaishaji tu. Tulia fanya mambo yako ikiwezekana mpotezee mazima
 
Ndio nshakaushaaa mazima
 
Back
Top Bottom