Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

Nmesoma story yako nmeielewa vizuri. Kiukwel najua uko kwenye situation ngumu. Najua wew bado unampenda lakin moyo ndo shida. Ilo ndo tatizo letu moja wanaume uwa tukipenda tunapenda kwel. Ila nakushauri force moyo wako hutoke kwa uyo dada. Laa sivyo Kuna mawili yatakupata either atakuwa mke mzuri au atakuwa mbaya na atakuharibia focus ya maisha ako bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOCIETY'S FOCUS,
Kuna wanawake wengine wameumbwa kwa ajili ya kuwa viburudisho tuu, sio kuwekwa ndani. Ukikosea ukaweka ndani sasa moto utakaokuwakia, utaokota makopo barabarani watu tuseme umelogwa.
Run for your life and sanity while you can.
 
Point noted brother
 
Nmesoma story yako nmeielewa vizuri. Kiukwel najua uko kwenye situation ngumu. Najua wew bado unampenda lakin moyo ndo shida. Ilo ndo tatizo letu moja wanaume uwa tukipenda tunapenda kwel. Ila nakushauri force moyo wako hutoke kwa uyo dada. Laa sivyo Kuna mawili yatakupata either atakuwa mke mzuri au atakuwa mbaya na atakuharibia focus ya maisha ako bro

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana brother... Nipo in bad mood sana. But no way...
 
Endelea kumwambia kila kitu akueende kwa akina Mshanajr and Co. Ndio utaisoma namba.

We mbwage tu, kwanza yeye anafanya kazi gani?
Muwe mnachunguza ukoo kabla ya kuingia kwenye uchumba/ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anafanya kazi supermarket moja ameajiriwa, kuna kitu na kihisi alipata shida kazini akasimamishwa ndio maana akaishi kwangu mwezi mzima
 
Kwanza mzee baba mpaka umeweza kujenga na ukikofikia sio kazi ndogo

Alafu anatokea mtu sijui wapi anasema uuze pumbavu kabisa

Eti siwez kaa sehemu local

Alafu bado unaitaji ushauri ufanye nn

Ntakushauri baadae ukisha fanya maamuzi kama ulivyoweza tafuta kiwanja na ukajenga
 
Back
Top Bottom