J wara, sure mkuu
Arovera, nmeshasitisha staki tenaUnachotafuta utapata sio muda mrefu huyo ni mjasiriauchi sio mke wa kuoa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ili aje auze mkaa sio... hio biashara atakimbia hawezi rudi
Dah mjinga sana, eti kuna siku anasema kama nalipwa mshahara ambao naona hautoshi niache kazi, nitafute kazi nyingine... wanawake wa dar sijui wanakwama wap... bure kabisaMkuu huyo ni pepo kuwa makini .Mdanganye umefukuzwa kazi umpime
Huyo ni msoma ramani ,jipange maliza nyumba kwanza ,finishing sio mchezooDah mjinga sana, eti kuna siku anasema kama nalipwa mshahara ambao naona hautoshi niache kazi, nitafute kazi nyingine... wanawake wa dar sijui wanakwama wap... bure kabisa
Najua boss... sio kazi rahisi...Huyo ni msoma ramani ,jipange maliza nyumba kwanza ,finishing sio mchezoo
Bure kabisa, yani nina hasira nae kweli.. aende tu
Ni kweli mkuu
Fact aisee, ngoja nitulie kwanza....Mkuu, huyo sio Wako. Achana naye na Uendelee na Maisha yako.
Utapata tu anayekupenda kweli na sio kwa hela zako...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Itanilipukia tu lazima