Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Thanks brother, nshampotezea hana maana tena
Naelewa boss na siwezi kuthubutu... akinitafuta tena namwambia uwe mama wa nyumbani najua hawezi kukubali ndio atasepa jumla... na siwezi kumtafuta kwa simu tena
Hassan mambosasa, huyu ndio imeishaa kihivi yani hamna cha taratibu... nshakata huduma na saivi akinitafuta yeye namchana ukweli... upuuzi staki tenaPunguza mawasiliano naye kimyakimya kisha uanze kumjibu kifupi akiwa anakutafuta. Huku ukifanya mambo yako, na hata akileta ugomvi wewe kausha na usijibu chochote. Maliza kujenga, ukae kwako.
Huyo keshaona amepata mti wa kuchuma matunda ya kunufaisha maisha yake. Ukichelewa, atakufilisi huyo. Kama wanawake wapo wengi mno na kila kukicha wanazaaliwa, huku kukiwa na wengine wengi ambao wapo tayari kuolewa.
Huyo ni jipu, Ukililea litakuwa tambazi. Shtuka mapema, jali maisha yako kwanza kama wanawake wapo na utaondoka duniani utawaacha. Haimaanishi ukimkosa huyo ndiyo umekosa yote duniani, bali utapata mwingine.
Siku nyingine usitafute mwanamke wa maonesho, itakucost.
MTEME KIMYAKIMYA
Hapo tu hajamwendea kwa kina Mshanajr akili nukta akimwendea itakuwaje?Endelea kumwambia kila kitu akueende kwa akina Mshanajr and Co. Ndio utaisoma namba.
We mbwage tu, kwanza yeye anafanya kazi gani?
Muwe mnachunguza ukoo kabla ya kuingia kwenye uchumba/ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 Picha naona bhana ndio maana nkasema atanifelisha michongo, aende zake.Hapo tu hajamwendea kwa kina Mshanajr akili nukta akimwendea itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana kuyataka mwana kuyapata! Tulia akuuzie hiyo nyumba akili ndio itakaa sawa!Nashukuru sana brother... Nipo in bad mood sana. But no way...
Huyo mwenzako mjanja mjanja sana! Hata huko super market usikute alipiga pesa za watu akawekwa benchi!Yeye anafanya kazi supermarket moja ameajiriwa, kuna kitu na kihisi alipata shida kazini akasimamishwa ndio maana akaishi kwangu mwezi mzima
Ntakupa boss, kitu imesimama hio mzee... ngoja utaichekiMimi niko Dar, nipe namba yake nimfatilie nyendo zake, nitakupa majibu
Umekata tamaa kwani alikukuta bikra?? Kwamba kaondoa uvulana wako??Hahaa ngumu kuendelea nshakata tamaa mkuu
Ni kweli madam... inawezekanaHuyo mwenzako mjanja mjanja sana! Hata huko super market usikute alipiga pesa za watu akawekwa benchi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekata tamaaa ku deal na yeye... so naendelea na mishe zangu zingineUmekata tamaa kwani alikukuta bikra?? Kwamba kaondoa uvulana wako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli brother... kila asie kua mwanaume ni mwanamke ila kuwa mke ni processHuyo hafai mkuu, jiongeze faster kabla hayajawa makubwa....si kila mwanamke anafaa kuwa mke
Sent using Jamii Forums mobile app
zero kabisa, hamna kitu mkuu ni patupu tuuHakuna ndoa hapo