Wewe tena 😅kwaio tusisifiwe tukiwa warembo
Hela ni nyoko, kibushuti kimebutua bonge la Shanti/ shoreHuyo mchungaji anaitwa Leonard Nombo
Kaamua kujilipua kwa kuoa pisi kali.
Eti kinajimwambafai kabisa kuwa kimewazidi kete wanaume wengine.
Mimi yangu macho na masikio tu.
Tafuta mwanamke anayejitambua achana na malaya, kuwa pisi sio kigezo cha kuliwa njeNi kawaida hiyo
jamaa yupo sahihi. Ukubwa wa simu inatakiwa uendane na cover lake. Vikipishana tu havitoshi kiganjani, kamwe havibebeki. Kama una D hata moja tu utakua umeelewa.Kuwa mchawi sio mpaka upae na ungo.
Laziiiiimaaaaaaa ✅Wabongo bhana, Kwahy ukioa pisi lazima ugongewe?
KabisaHuyu ni wale jamaa wanasemaga "hakuna mwanamke asiyegongwa nje"
Wanadhani tabia za mama zao na wake zao ni wanawake wooote wanazo
Mtoa mada ni mchawi au atakuwa mshirikinaKuwa mchawi sio mpaka upae na ungo.