Huyu mchora katuni wa DW alikuwa anamaanisha nini?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
FB_IMG_1507969161105.jpg
 
Awamu hii Magu amewashika watu pabaya.Wanahaha kumshusha bila kujua kwamba ndo wanampaidha.

Akili yako ndogo sana, huelewi na huna ufahamu wa madhara ya nchi kuongozwa bila kufuata misingi ya sheria, ukiona dunia inalilia deemokrasia, utawala bora inakuwa ageenda ya dunia na si nchi basi ujue kuna umuhimu mkubwa sana wa kufuaa sheria, ukisikia amri kumi za Mungu unatakiwa kujiuliza, hizi torati zilikuwa na maana gani?? hiyo ni katiba kwa mujibu wa dini, ila kwa sababu ya ubutu wa akili yako basi kila likiongelewa jambo unahisi kuna mtu ameshikwa, poor mind
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom