Mtazamo juu ya siasa za Tanzania kuelekea 2025

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Binafsi huwaga sina utaalamu wa habari picha.

Nawaombeni wataalam wa masuala ya habari picha mtupe madini ya nini hawa DW wamemaanisha kwenye katuni hii.

Karibuni sana wanafamilia wa JF.

Screenshot_20231123-154804_Instagram.jpg
 
Huyo dogo anajulikana kwa kurubuni, anaenda kuwanunua baadhi ya wapinzani watavaa kijani inayoshonwa. Na ndio lengo la mshonaji kuua upinzani inavyosomeka
 
Huyo dogo anajulikana kwa kurubuni, anaenda kuwanunua baadhi ya wapinzani watavaa kijani inayoshonwa. Na ndio lengo la mshonaji kuua upinzani inavyosomeka
Upo very smart mzee na IQ naona ipo juu mawinguni
 
Back
Top Bottom