Huyu mchina anatafuta kufa au vipi?

Huyu mchina anatafuta kufa au vipi?

Sijawazia kunywa, nimewazia huo muda anaokunywa hajavuta pumzi, ni ana pumzi kiasi gani kiasi cha kuzuia pumzia karibia nusu dk!?
Kuhusu kunywea puani, ikishapita puani si inaingia kwenye mfumo wa chakula kama kawaida!!?
 
Haya mambo tushayafanya sana Kisarawe huko naona kama marudio tu
 
kmmk nilidhani nimeona kila kitu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom